THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,066
- 4,769
Bakhresa aliwakilishwa na mwanae abubakar, alikwenda kinondoni kutoa mkono wa pole kwa familia.Bakhresa hiv nae huwa anaenda??
Bakhresa aliwakilishwa na mwanae abubakar, alikwenda kinondoni kutoa mkono wa pole kwa familia.Bakhresa hiv nae huwa anaenda??
Ukimaliza hii list kaongeze ile dawa kwenye maji ya kukoga.Bakhresa ni mpemba wala sio muhindi. Mimi naweza kusema huenda kuna issue zao za biashara, huenda kuna vita vya kiuchumi dhidi ya hao matajiri wakubwa kabisa hapa Tanzania. Kumbuka masoko yao ni hapa Tanzania, Africa mashariki na maziwa makuu. Unakumbuka watu walivyokuwa wanaitana fisadi Papa na fisadi nyangumi? Huenda mpaka mauti inamfika mwenzetu walikuwa hawajamaliza tofauti zao.
Ngoja nitaje list ya Watanzania wachache waliowahi kuwa na bifu na Mengi na hawakwenda msibani :
1.Lawrent Masha
2.Profesa Muhongo
3.Adam Malima
4.Rostam Aziz
5.Yusuf Manji
Na wewe jazia wengine
Hata Mie sijui hata alivyohivi yukoje huna picha yake?
Huyo siyo Meck Sadick kweli?
tuwasusie bidhaa zao...Hawa jamaa Mo na Bakharesa huwa hawaonekani misibani lakini kwa huu wa Mengi wangejikongoja jamani!




...njaa ipo mkuuA lion can not become a graceful girraffe....mkuu..Bakhresa hiv nae huwa anaenda??