Kwa Nini Mo Dewiji haendi misibani?

Tamaduni za wahindi hawaabudu 'kifo' ndomana hawaziki ni kiberiti na kuni..

Usilazimishe kila mtu akavae jinsi za kuchanika magotini kwenye misiba.
 
Ukimaliza hii list kaongeze ile dawa kwenye maji ya kukoga.
 
NI WATU WENYE UBAGUZI WA HALI YA JUU, NA WANATUDHARAU MNO, KUMBUKA WALIKUJA NA NGUO TU NDANI YA BEGI LAKINI KWA KUSHIRIKIANA NA WATU WASIOJIAMINI HASA WAFANYAKAZI WA MABENK WAMEPEWE MITAJI NA WAMEJITAJIRISHA NDANI YA ARDHI YETU NA KUSAFIRISHA MALI YA NCHI KWAO. KWA KWELI NI WASHENZI MNO
 
Watu wengi wameanza kuhoji Kwanini @moodewji hahudhulii kwenye misiba?!

Msiba wa Ruge Mutahaba hakuwepo, msiba wa Ephraim Kibonde hakuwepo na msiba wa Dr Reginald Mengi hakuwepo.

Mnakumbuka kipindi alipotekwa Tulivyoungana tukapaza sauti na kumlilia pamoja na kumuombea mpaka akarudi mzima?!?

Maybe labda anahisi hayamuhusu basi na sisi kumbe tulijipendekeza kipindi kile.

Funguka tu kwa mawazo yako

 
Hivi ni lazima? Yaani kila msiba watu, sijui kama ni wa Dar (kwenye watu maarufu)tu au ndio Tz nzima sasa ilivyo, lazima ukaoneshe sura. Huo muda mnao!
 
Hawa jamaa Mo na Bakharesa huwa hawaonekani misibani lakini kwa huu wa Mengi wangejikongoja jamani!
tuwasusie bidhaa zao...[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]...njaa ipo mkuu
 
inaweza kuwa hakupata kadi ya mwaliko

hata Bahressa na Diallo hawakupata mwaliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…