Bra-joe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,562
- 986
Wakuu, kuna maswali huwa yananisumbua sana kuhusu watu wanaoishi kama mke na mume, halafu mmoja kaathirika na mwingine mzima na wanawatoto ambao hawajaathirika, na mara nyingi mwanamke ndio anakuwa kaathirika. Maswali yenyewe: 1. je, inakuwaje aliyeathirika asimuambukize mwenza wake wakati hawatumii kinga? 2. Je, mume huyu akizini na mwanamke mwingine aliyeathirika bila kinga atapata maambukizi? 3. Je, inawezekana mwanaume akawa na vvu halafu mwanamke hana?