Kwa nini mmoja awe na virusi vya ukimwi na wingine hana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini mmoja awe na virusi vya ukimwi na wingine hana?

Discussion in 'JF Doctor' started by Bra-joe, Apr 26, 2012.

 1. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Wakuu, kuna maswali huwa yananisumbua sana kuhusu watu wanaoishi kama mke na mume, halafu mmoja kaathirika na mwingine mzima na wanawatoto ambao hawajaathirika, na mara nyingi mwanamke ndio anakuwa kaathirika. Maswali yenyewe: 1. je, inakuwaje aliyeathirika asimuambukize mwenza wake wakati hawatumii kinga? 2. Je, mume huyu akizini na mwanamke mwingine aliyeathirika bila kinga atapata maambukizi? 3. Je, inawezekana mwanaume akawa na vvu halafu mwanamke hana?
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  1.Labda mume anamuandaa vizuri mke so michubuko inakua hamna
  2.Labda m/me anapiga ki-star na sio kukomoa
  3.Labda m/me ana dushelele dogo(bamia) na m/ke amboni pakubwa
   
 3. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  hapa natafuta majibu ya kisayansi, na siyo mitaani, kama hujui siyo lazima kujibu, waachie wajuzi,
   
 4. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,485
  Likes Received: 5,961
  Trophy Points: 280
  hizo couple kitaalamu , NO! kiingereza zinaitwa discordant couple sababu ni hii. virusi vya ukimwi huwa vina shambulia seli za kulinda mwili kwa kuingia ndani ya seli na kuanza kujizalisha na sio seli yoyote ile , sasa je kirusi kinajuaje hii seli niingie na hii nisiingie? kwenye ukuta wa hizi seli kunakuwa na alama zilizojichomoza ambazo kirusi kikiziona kinaitambua seli na kujishikiza na halama hizo au vishikio hivyo husaidia kirusi kuingia ndani, sasa kuna baadhi ya watu hawana hivyo vishikio/alama (cell surface receptors) kwenye cell zao kwa hiyo hata kirusi kikiingia kwenye damu kitashindwa kuingia ndani ya seli so unakuta mtu hata afanye ngono na mtu mwenye ngoma hapati ngoma
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ukiacha hizo sababu unazoziamini na hizi zinachangia,usiwe mtumwa wa kisayansi,kama wewe mwanasayansi kati ya kuku na yai nani kaanza?
   
 6. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  guys, probability ya kuambukizwa virusi vya ukimwi kwa kila unapofanya tendo la ndo ni only 2%. Na uwezekano wa maambukizo huwa ni rahisi zaidi kama mme na mke wataingiliana kwa kutumia nguvu, no maandalizi, kama wataingiliana kwa njia ya haja kubwa (ana sex), na kama game inakwenda mda mrefu sana na kusababisha maji ya ukeni kukauka. Na hivyo kuanzisha msuguano mkali. Kwa hiyo kama hawa watu wanafanya mapenzi ya kistaarabu na si kukomoana, ni kazi ngumu sana kuziangukia kwenye hii 2%.
   
 7. T

  Tiger JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo huyo mtu anaweza kuwa na HIV bila kuwa na AIDS au inakuwaje doctor?
   
 8. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,485
  Likes Received: 5,961
  Trophy Points: 280
   
 9. T

  Tiger JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Asante doctor.
  Hivi carriers nao wapo kwenye kundi gani hapa na vipimo vinasemaje juu yao?
   
 10. LEONELL

  LEONELL JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 394
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  exactly.....!
   
 11. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Visipoingia ndani ya seli vinashindwa kuzaliana na vinakufa
   
 12. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Probabilities za "Normal" sexual HIV transmission rates:
  •Receptive anal sex: 0.5%


  •Insertive anal sex: 0.07%


  •Receptive vaginal sex: 0.1%


  •Insertive vaginal sex: 0.05%


  •Receptive oral sex: 0.01%


  •Insertive oral sex: 0.005%


  – thus unprotected anal intercourse is the most efficient method of sexual transmission
  Ole wenu mnaoabudu tiGO!!!
   
 13. LEONELL

  LEONELL JF-Expert Member

  #13
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 394
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  acha kuongea ujinga wewe hamna mtu ambaye siyo mtumwa wa kisayansi karne hii kama wewe siyo mtumwa unatafuta nini hapa jf acha kuongea ujinga wewe....hii yote ni faida ya kisayansi sio unaongea tuu kwa kuwa umepewa mdomo.......afu chunga kauli zako
   
 14. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #14
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,485
  Likes Received: 5,961
  Trophy Points: 280
  carriers ni wale wenyeHIV lakini kinga yao haija athirika kiasi cha kupata magonjwa nyemelezi yaani hawana UKIMWI, na vipimo vyao huonyesha HIV positive
   
 15. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #15
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Sasa na mimi naomba ufafanuzi hapo.Labda mzee anaukimwi inawezekana mama akawa mjamzito asipate ukimwi na mtoto asipate ukimwi kweli.
   
 16. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #16
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Aksante sana mkuu, je kama mtu hana vishikio halafu akafanya ngono na mtu aliyeathirika bila kinga, na baadaye akafanya na mtu ambaye hana maabukizi, je anaweza kumuambukiza ukimwi? Je, mtu anaweza kupimwa kujua kama anavishikizo au la?
   
 17. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #17
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  aksante mkuu.
   
 18. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #18
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Nashukuru sana ndugu.
   
 19. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #19
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,485
  Likes Received: 5,961
  Trophy Points: 280
  kwa kawaida ya magonjwa yote ya kuambukiza huwa kunakuwa na time toka kuambukizwa mpaka nae aweze kuambukiza. mfano siku za mwanzo mgonjwa wa ukimwi uwezo wake wa kuambukiza unakuwa mdogo lakini siku zinavyopita unakuta hata mate yanakuwa na virusi. tukirudi kwenye swali haiwezekani mtu huyu kuambukiza sababu vurusi vinatakiwa viingie kwenye damu kisha ndani ya seli kuzaliana na kusambaa sehemu mbalimbali za mwili kama vile kwenye mbegu za kiume sasa visipozaliana haviwezi kusurvive na pia concentration yao inakuwa ndogo mno to be infective
   
 20. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #20
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,485
  Likes Received: 5,961
  Trophy Points: 280
  mkuu sina data za kiniback up lakini kwa kufikiri naweza sema hivi. mama kama hana cell surface receptors hawezi kuambukizwa hata akiwa na mimba, halafu virusi kwa njia ya kujamiiana let say kupitia mbegu za kiume haviingii kwenye damu moja kwa moja zinapitia kwenye seli zilizopo kwenye uke ziitwazo dendritic cells so vikishindwa kuingia kwenye dendritic cells hata kwenye damu havitaweza kufika na mtoto hawezi ambukizwa. lakini kama virusi vikiwa introduced moja kwa moja kwenye damu na vikapata chansi ya kupita kwenye placenta na kukutana na damu ya mtoto ambaye anazo cell surface receptors naona kuna kachance ka kumuambukiza
   
Loading...