Bra-joe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,562
- 986
- Thread starter
- #21
kwa kawaida ya magonjwa yote ya kuambukiza huwa kunakuwa na time toka kuambukizwa mpaka nae aweze kuambukiza. mfano siku za mwanzo mgonjwa wa ukimwi uwezo wake wa kuambukiza unakuwa mdogo lakini siku zinavyopita unakuta hata mate yanakuwa na virusi. tukirudi kwenye swali haiwezekani mtu huyu kuambukiza sababu vurusi vinatakiwa viingie kwenye damu kisha ndani ya seli kuzaliana na kusambaa sehemu mbalimbali za mwili kama vile kwenye mbegu za kiume sasa visipozaliana haviwezi kusurvive na pia concentration yao inakuwa ndogo mno to be infective
shukrani sana mkuu. Je, mtu anaweza kupimwa kujua kama anavishikizo au la?