Kwa nini Matokeo ACSEE yapitie UDSM?

leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,589
2,140
nadhani wanajaribu kuyaweka kwenye servers nyingi zaidi ili kufanya access iwe reliable. Zamani wakiweka kwenye server za Necta ay Moe tu ilikuwa inazingua sana kuyapata matokeo hasa kwa siku za kwanza kwanza..lakini sasa angalau
 
yeah i thnk its coz wanataka kurahisisha access ya hayo matokeo and kunguza foleni online kwa server za moe na necta , hallaaaaa
 
Hicho nacho ni kitu cha kulalamikia jaman?haters wa udsm utawajua tu.
 
Nahisi hamjamuelewa muulizaji swali lake regardless of axcesbility issue why ipitie udsm? Mbona hata ifm,sua,dit nao wana servers? Hilo ndio swali la mdau? Au kuna special gani kwenye servers za udsm? Mie nimesoma udsm kwhyo msiniite hater!
 
Msaada please kwa haya matokeo yangu III-15 HIST-S GEO-E na KISW-D ni apply faculty zipi? Na vyuo gani? Na vp? Kuhusu MKOPO?
 
hapo jaribu kuomba diploma tu kama kwenu ni familia ya kuunga unga lakini kama ni zile bora omba remidial course chuo chochote then utachaguliwa lakini utajilipia no mkopo.
 
Hicho nacho ni kitu cha kulalamikia jaman?haters wa udsm utawajua tu.

haters kwa lipi? Kwenye ajira mbona siku hizi vyuo haviusiki kinachoangaliwa ni jinsi gan unauza your skills ondoa ganda kwenye bongo yako,watu wamesoma vyuo vya kata sasa wako njema vibaya,kuna b.itoz mmoja alipata Education Mliman na akapata BBA Arusha Unvst akachagua kuuza sura mabibo hostel sasa katupwa chaka huko mbamba bay anakula chaki wenzie wapo mjini wanakalia t.ako moja wallet ziko lumbessa mwezi mzima!
 
Nahisi hamjamuelewa muulizaji swali lake regardless of axcesbility issue why ipitie udsm? Mbona hata ifm,sua,dit nao wana servers? Hilo ndio swali la mdau? Au kuna special gani kwenye servers za udsm? Mie nimesoma udsm kwhyo msiniite hater!

Kwanza nikusahihishe kidogo. Hayapitii UDSM. Yanamewekwa kwenye server za UDSM. Sababu kubwa ni kama zilizotajwa, kupunguza msongamano kwenye server moja kwa kuwa watu wanao access ni wengi. Kuweka kwenye server za watu wengine inahitaji inahusisha uhusioano uliopo kati ya anayeweka na wenye server ( Nadhani umeelewa). Vile vile capacity ya hizo server. Kuna vi server vingine haviwezi kuhimili load. Upo hapo?
 
Kukalia **** mojaaaaaa...... Halaaaaa......
haters kwa lipi? Kwenye ajira mbona siku hizi vyuo haviusiki kinachoangaliwa ni jinsi gan unauza your skills ondoa ganda kwenye bongo yako,watu wamesoma vyuo vya kata sasa wako njema vibaya,kuna b.itoz mmoja alipata Education Mliman na akapata BBA Arusha Unvst akachagua kuuza sura mabibo hostel sasa katupwa chaka huko mbamba bay anakula chaki wenzie wapo mjini wanakalia t.ako moja wallet ziko lumbessa mwezi mzima!
 
Na kwa nini yapitie server ya UDSM na sio vyuo vingine;
 
mh,haya,next year tutayaweka kwenye server ya Tumaini university na UDOM
 
Mtu anayecompile na kuyafanyia analysis hayo matokeo yupo UDSM. Kuwasaidia tu, anaitwa Dr Mbamba. Huyu amekuwa akitumiwa na Necta miaka mingi.
 
Naombeni Ufafanuzi Wadau...

Link ya kwanza ya kuangalia matokeo ya ACSEE 2012 ni hii hapa
http://utawala.udsm.ac.tz/form62012/Alevel.htm

Link ya pili ya kuangalia matokeo ya ACSEE 2012 ni hii hapa
http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2012/Alevel.htm

Link ya tatu ya kuangalia matokeo ya ACSEE 2012 ni hii hapa
http://admin.udsm.ac.tz/form62012/Alevel.htm

Kwa nini link mbili (Ya kwanza na ya tatu) kati ya tatu zinahusiana na UDSM (University of Dar es salaam)?

Wataalam wa IT naombeni msaada.

wakati nikiwa pale udsm, sikuwahi kuangalia matokeo kupitia NECTA, web yao inasumbua sana. lakini ukifungua matokeo kupitia udsm, wala hutahangaika kuyapata. nadhani wana server yenye uwezo mkubwa kuliko ya necta
 
Msaada please kwa haya matokeo yangu III-15 HIST-S GEO-E na KISW-D ni apply faculty zipi? Na vyuo gani? Na vp? Kuhusu MKOPO?

usihangaike na faculty, nafasi zote za coz weka socia science, lakini kozi iwe B.A. Ed. unaweza kupata. ukijifanya kuwa sijui nani, utaumia
 
haters kwa lipi? Kwenye ajira mbona siku hizi vyuo haviusiki kinachoangaliwa ni jinsi gan unauza your skills ondoa ganda kwenye bongo yako,watu wamesoma vyuo vya kata sasa wako njema vibaya,kuna b.itoz mmoja alipata Education Mliman na akapata BBA Arusha Unvst akachagua kuuza sura mabibo hostel sasa katupwa chaka huko mbamba bay anakula chaki wenzie wapo mjini wanakalia t.ako moja wallet ziko lumbessa mwezi mzima!
Mkuu hata kijijini maisha mazuri yapo ukiamua....mi nipo kijijini nafanya kazi huu ni mwaka wa pili namiliki mkoko mmoja wa biashara na nyumba mbili migombani.....na mjini ctaki kukaa cjui hapo vipi? Maisha ni juhudi yako na cio kukaa mjini au kijijini...funguka weye!
 
achana na huyo mshamba mkuu!!ye anaona dili kukaa town wkt mifukon hana kitu.
 
Sababu ni moja pekee. Mwenyekiti wa NECTA ni Profesa Rwekaza Sympho Mukandala. Yeye ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Ameamua kuwasaidia vijana wake kuyapata matokeo kwa haraka na kwa urahisi kupitia alipo. Basi.
 
achana na huyo mshamba mkuu!!ye anaona dili kukaa town wkt mifukon hana kitu.
Mkuu senetor najua upo udsm and i lyk ua comment buddy! Ucjal i wil fynd u one day bt f u lyk mtafute ma young bra yupo udsn Baed yupo llps! Pm me folk f u wish!
 
Back
Top Bottom