data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,230
- 22,831
au mbululaaa....au haogi....au ana puu wakat wa majmboz...au ananuka miguu...au ana ka kidol...auuu au au auttau.....au.....au..au.....aaaah.......
au mbululaaa....au haogi....au ana puu wakat wa majmboz...au ananuka miguu...au ana ka kidol...auuu au au auttau.....au.....au..au.....aaaah.......
Kuna issues we have to be seroius just imagine ungekua wewe na umeomba ushauri na ukajibiwa wewe hivi ingekuaje,so far its the matter of experience leo hii mimi naamini hamna mtu asiyewahi kutendwa kimapenzi ,so he needs to share ur experience that's all
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
nitake radhi tafadhari
ukisema nakuwa na wasio levo yangu si kwel coz wengi nawapata katika mazingira ya kunitaka wenyewe..usafi me ni msafi na mtanashati haswaa
mabobishi sielew maana yake
nitake radhi tafadhari
ukisema nakuwa na wasio levo yangu si kwel coz wengi nawapata katika mazingira ya kunitaka wenyewe..usafi me ni msafi na mtanashati haswaa
mabobishi sielew maana yake
Kama huwezi kubadilika ndo kama hivi sasa walimwengu(hao wanao kutosa)ndo watakubadlisha kwa mapito magumu!!!ahsante..ila ni vigumu kuchange..nimeumbwa ivyo..nimezoea hivyo
bado sijapata ushauri sahihi
Haa haa eti mimi ni muwazi sana lol
nani anaependa an open book?
women love mysterious people...
talk less about you..muache a find out taratibu
pole sana mkuu ila sikufichi Watu wengi wawazi hushindwa kusolve tatizomla mpenzi wake kwa njia ambayo haitamuuzi
kwa mfano mimi situmii kemikali ya aina yoyte na napenda kufuga nywele natural
na wewe unapenda nywele zenye dawa kwa mtazamo wako unaona zinapendeza,sas badala ya kuniambia hizi nywele ungesukia rasta kama dawa hutaaki nadhani zitakupendeza zaidi WEWE UNAMWAMBIA hayo manywele yako bila dawa hayapendezi,unaonekana kama mzee and the like
au kwa mfano mnatoka mnaenda sehem mpenzio kajiandaa kapaka lipstik nyingi kwa mfano badala umwambie punguza kidogo au sipendelei hii paka hii ndo inakupendeza
UNAMWAMBIA embu kanawe huo mdomo
take it from me ukiwa muwaz pia jua jinsi ya kufikisha ujumbe haswa kwa mwenzi wako
AM A VICTIM wa hiyo kitu
nina uchumi wa kumridhisha binti yeyote asiye na makuu kuhusu mwonekano wangu sina wasi wasi nao.siko kwenye kundi la wasio n mvuto na isitoshe wengi walintaka wenyewe
Habari wafuasi wa mapenzi
leo na mimi nimeona niwashirikishe linalonisibu.sijajua ni tatizo ama ni nini..iko hivi;
kwanza kabisa naandika haya nikiwa na maumivu yetu yale ya kufanyiwa vibya na tuwapendao..na huu ni uhusiano wangu wa tatu na mara zote me ndiyo nimekuwa victim..nashindwa kuelewa huwa naanguka wapi sababu kwanza sijawai ingia kwenye mahusiano na binti kwa lengo la kupotezea mda binti wa mwanmume mwenzangu na kawaida mi ni mpole ingawa siyo ule upole wa kibwege..ni muwazi,huwa namheshim nilienae na kuuheshim uhusiano wetu kwa maana ya kwamba siwezi kucheat,nina jari na kutunza kulingana na ukubwa wa mfuko wangu.ninapojuwa nimekosa niko mwepesi sana kuomba radhi hata kama kosa siyo langu ntafanya hivyo ili tu kuepusha shari maisha ya amani yaendelee na kama dushelele napiga vizuri tu
hoja ni kwamba..KWA NINI BADO MAHUSIANO YANGU HAYAFIKII KULE TULITALAJIA YAFIKE?KWA NINI MWISHO WA SIKU WANANIONA SIFAI TENA ingawa kweli tulioachana nyuma hutamani kurudi na kukiri kuwa hawawezi kupata mwanamume wa kuwa treat vile..saivi nimeumizwa tena niko mpweke kabisa..richa ya stress zote kikubwa kinaniumiza kichwa kwa nini wananitendea hivyo?ni kipi nakikosea next time kwa uhusiano mpya nisikirudie tena nikawa n uhusiano wa kudumu?Ahsanteni kwa kunisoma nakaribiaha mawazo yenu.