Kwa nini mahusino yangu hayafikii malengo?(nini wanawake wanataka)

Kuna issues we have to be seroius just imagine ungekua wewe na umeomba ushauri na ukajibiwa wewe hivi ingekuaje,so far its the matter of experience leo hii mimi naamini hamna mtu asiyewahi kutendwa kimapenzi ,so he needs to share ur experience that's all


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Sasa mkuu......ungependa nimshauri vipi labda....?.....au unaona niliyosema hapo hayahusiki katika mapenzi........?
 
nitake radhi tafadhari
ukisema nakuwa na wasio levo yangu si kwel coz wengi nawapata katika mazingira ya kunitaka wenyewe..usafi me ni msafi na mtanashati haswaa
mabobishi sielew maana yake

Mabobish ni ku brag......labda una brag sana......
 
approach yako kwenye mapenzi ni dhaifu sana..........

halafu tunu zako kwenye mapenzi siyo vipaumbele kwa wanawake.......

tatu women hawapendi Mr. nice guy kivile.......
 
nitake radhi tafadhari
ukisema nakuwa na wasio levo yangu si kwel coz wengi nawapata katika mazingira ya kunitaka wenyewe..usafi me ni msafi na mtanashati haswaa
mabobishi sielew maana yake


sasa unalalamika nini kumbe wanakuja kukuzoa kama juha wanakutumia wanachapa lapa

mwanaume mzima eti wanakuja kunitaka wao!!!!!!
Ungekuwa na uterus saa hizi zamaaaaaani!!!!!
 
bado sijapata ushauri sahihi

Keep reading young man you cant have all at a time keep chewing slowly till you get a full measure!!!!

Life is in chapters,cant you just be thankful that people of a kind nature are responding!!!!!!

You are in a rush hunh,and if this is how you treat them gals then you are prone to premature shots. ..ndio ile pretta kasema au au au au..

Upo jandoni hapa tulizanaaaaaaaa
 
Haa haa eti mimi ni muwazi sana lol

nani anaependa an open book?

women love mysterious people...

talk less about you..muache a find out taratibu

Hahahahaaaaa......... Yaani uko sahihi kabisaaa..!
 
Wanaojibu ovyo ni type ya watu ambao wameshakata kamba ktk mahusiano ndo maaana hawana jibu la kumshauri huyu mwenzetu kwani huwezi sahihisha makosa ya mtu wakati nawe wafanya makosa kama hayo hayo so inshort tulia fanya mambo yako kwa ufanisi utampata tu mwolewai kwani mabinti wengi wana maumivu so inakuwa vigumu kumwa mini boy ndo maana wanakuwa hivyo
 
pole sana mkuu ila sikufichi Watu wengi wawazi hushindwa kusolve tatizomla mpenzi wake kwa njia ambayo haitamuuzi
kwa mfano mimi situmii kemikali ya aina yoyte na napenda kufuga nywele natural
na wewe unapenda nywele zenye dawa kwa mtazamo wako unaona zinapendeza,sas badala ya kuniambia hizi nywele ungesukia rasta kama dawa hutaaki nadhani zitakupendeza zaidi WEWE UNAMWAMBIA hayo manywele yako bila dawa hayapendezi,unaonekana kama mzee and the like

au kwa mfano mnatoka mnaenda sehem mpenzio kajiandaa kapaka lipstik nyingi kwa mfano badala umwambie punguza kidogo au sipendelei hii paka hii ndo inakupendeza
UNAMWAMBIA embu kanawe huo mdomo

take it from me ukiwa muwaz pia jua jinsi ya kufikisha ujumbe haswa kwa mwenzi wako
AM A VICTIM wa hiyo kitu
 
Tatizo lako unashindwa kuwaelewa wanawake,hata siku moja husiwamini! Fanya mambo yako ya msingi kama ni shule soma sana kama business concentrate nayo kama kazi Fanya kwa bidii tafuta pesa ujenge heshima duniani kote nakuhakikishia hata Kim kardashian atakupenda tu ,ila kwa vihela vyako vya madafu watavila vikipungua wana kukuacha solemba
 
Ni ngumu sana kupata jibu la general, Kwa sababu sisi si kama nyie ambao lenu kubwa ni sex. Halafu kingine ce mabinti au wanawake tunatongozwa sasa ukiona nimekutongoza basi tumia akili ya ziada. Kikubwa ucforce mambo na uwe unatongoza utampata tu ambae mtakuwa na interest zinazolingana.
 
pole sana mkuu ila sikufichi Watu wengi wawazi hushindwa kusolve tatizomla mpenzi wake kwa njia ambayo haitamuuzi
kwa mfano mimi situmii kemikali ya aina yoyte na napenda kufuga nywele natural
na wewe unapenda nywele zenye dawa kwa mtazamo wako unaona zinapendeza,sas badala ya kuniambia hizi nywele ungesukia rasta kama dawa hutaaki nadhani zitakupendeza zaidi WEWE UNAMWAMBIA hayo manywele yako bila dawa hayapendezi,unaonekana kama mzee and the like

au kwa mfano mnatoka mnaenda sehem mpenzio kajiandaa kapaka lipstik nyingi kwa mfano badala umwambie punguza kidogo au sipendelei hii paka hii ndo inakupendeza
UNAMWAMBIA embu kanawe huo mdomo

take it from me ukiwa muwaz pia jua jinsi ya kufikisha ujumbe haswa kwa mwenzi wako
AM A VICTIM wa hiyo kitu

Hahahaaaaaaaaaaa, yani mpaka nimedondoka. Duuuuh pole sana masai Dada, eti kanawe apo itabaki kidogo utaambiwa tukitoka out ufunge vitenge hakuna kuvaa vimini.
 
nina uchumi wa kumridhisha binti yeyote asiye na makuu kuhusu mwonekano wangu sina wasi wasi nao.siko kwenye kundi la wasio n mvuto na isitoshe wengi walintaka wenyewe


Walikutaka au walikutamani?

inabidi ujue kuwatofautisha kati ya wenye upendo na wenye tamaa
 
Habari wafuasi wa mapenzi
leo na mimi nimeona niwashirikishe linalonisibu.sijajua ni tatizo ama ni nini..iko hivi;
kwanza kabisa naandika haya nikiwa na maumivu yetu yale ya kufanyiwa vibya na tuwapendao..na huu ni uhusiano wangu wa tatu na mara zote me ndiyo nimekuwa victim..nashindwa kuelewa huwa naanguka wapi sababu kwanza sijawai ingia kwenye mahusiano na binti kwa lengo la kupotezea mda binti wa mwanmume mwenzangu na kawaida mi ni mpole ingawa siyo ule upole wa kibwege..ni muwazi,huwa namheshim nilienae na kuuheshim uhusiano wetu kwa maana ya kwamba siwezi kucheat,nina jari na kutunza kulingana na ukubwa wa mfuko wangu.ninapojuwa nimekosa niko mwepesi sana kuomba radhi hata kama kosa siyo langu ntafanya hivyo ili tu kuepusha shari maisha ya amani yaendelee na kama dushelele napiga vizuri tu
hoja ni kwamba..KWA NINI BADO MAHUSIANO YANGU HAYAFIKII KULE TULITALAJIA YAFIKE?KWA NINI MWISHO WA SIKU WANANIONA SIFAI TENA ingawa kweli tulioachana nyuma hutamani kurudi na kukiri kuwa hawawezi kupata mwanamume wa kuwa treat vile..saivi nimeumizwa tena niko mpweke kabisa..richa ya stress zote kikubwa kinaniumiza kichwa kwa nini wananitendea hivyo?ni kipi nakikosea next time kwa uhusiano mpya nisikirudie tena nikawa n uhusiano wa kudumu?Ahsanteni kwa kunisoma nakaribiaha mawazo yenu.

Av olyz think ua she....asante kwa kunifumbua macho by z way karibu kwangu nikutreat z same way u'll treat me and enjoy happy ending!!hutoregreat changamkia fursa
 
Back
Top Bottom