Kwa nini Lissu alipewe shahada ya falsafa ya heshima. Aitwe Dr. Tundu Lissu.

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Wana Jamii Forum.

Ni kwa nini Lissu asipewe shahada ya udaktari wa falsafa, Doctor of Philosophy. Hata kama hatapewa na hivi vyuo vyetu basi sisi wananchi wa kawaida tunaweza kumpa hiyo heshima.

Hii shahada ya udaktari wa falsafa ya Lissu ni kutokana na ujasiri wake wa kusema ukweli bila kuogopa, kusema ukweli bila kupepesa macho.

Tunajua watawala siku zote hawapendi kuambiwa ukweli hata kama ukweli huo ungewasaidia kuokoa maisha yao au vyeo vyao, wengi husema ni wakweli ila moyoni hawapendi ukweli na hawataki wananchi wajue ukweli, akijitokeza mtu anasema ukweli au anawafundisha wananchi ukweli huyo lazima wafanye kila namna kumuondoa.

Lissu ni amesimama kidete kusema ukweli bila kuyumba huku akijua wazi kabisa kua huo ukweli ungeweza kugharimu maisha yake. Kuna haja ya sisi watanzania wapenda ukweli kutambua hilo na kumpa heshima yake Lissu.

Kuanzia sasa naomba wana JF tuanze kumuita Lissu Dr. Tundu Lissu.
 
Dr. T. A.Lissu MUNGU BABA amtunze, amzidishie afya njema na maisha marefu, hesabu za siku zake zipate kutimia hapa ulimwenguni ( kutoka 23:25-26) MUNGU BABA amzidishie ulinzi wa malaika ( Kutoka 23:20 , na Zaburi 91:10-12).
HEKIMA ya MUNGU akazidi kujaa kinywani mwake. Na damu ya Yesu KRISTO inayonena mema ikaendelee kumnenea mema siku zote za maisha yake Dr. Tundu . A . Lissu, Amina.
 
Wana Jamii Forum.

Ni kwa nini Lissu asipewe shahada ya udaktari wa falsafa, Doctor of Philosophy. Hata kama hatapewa na hivi vyuo vyetu basi sisi wananchi wa kawaida tunaweza kumpa hiyo heshima.

Hii shahada ya udaktari wa falsafa ya Lissu ni kutokana na ujasiri wake wa kusema ukweli bila kuogopa, kusema ukweli bila kupepesa macho.

Tunajua watawala siku zote hawapendi kuambiwa ukweli hata kama ukweli huo ungewasaidia kuokoa maisha yao au vyeo vyao, wengi husema ni wakweli ila moyoni hawapendi ukweli na hawataki wananchi wajue ukweli, akijitokeza mtu anasema ukweli au anawafundisha wananchi ukweli huyo lazima wafanye kila namna kumuondoa.

Lissu ni amesimama kidete kusema ukweli bila kuyumba huku akijua wazi kabisa kua huo ukweli ungeweza kugharimu maisha yake. Kuna haja ya sisi watanzania wapenda ukweli kutambua hilo na kumpa heshima yake Lissu.

Kuanzia sasa naomba wana JF tuanze kumuita Lissu Dr. Tundu Lissu.
Umeongea uhalisia uliopo mioyoni mwa wengi lakini natambua kuna watu hili linawachukiza na kuwaumiza sana

Jr
 
Watu wanakasirishwa kwa maneno na tuhuma anazotoa Tundu Lissu kwenye vyombo vya habari kuliko ambavyo walikasirishwa na jaribio la kumuua kwa risasi zaidi ya 30. It just doesn’t make sense hata katika chembechembe ndogo zaidi ya utu iliyosalia akilini mwa mwenye hasira. Basi tu
 
Anatakiwa kuandaa paper yake, research yake itapita tu na kupatiwa PhD. Kwa sababu anaonekana anauwelewa mkubwa sana kwenye taaluma za sheria na siasa. Uwezo anao, aweke nia na ubunifu. Siku hizi PhD miaka miwili/mitatu faster unapata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nmesikia mahojiano baina ya voice of America( V O A),lissu na balozi wetu asee imebid ncheke watu wanahoja asee heko Dr lissu pia amesema jumatano ijayo kama sikoei anaenda kifanyiwa operation ingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom