Kwa nini............... Kwa sababu!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini............... Kwa sababu!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by First Born, Aug 2, 2011.

1. First Born

First Born JF-Expert Member

#1
Aug 2, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 5,291
Likes Received: 71
Trophy Points: 145
kwa mtazamo wangu hizi ni baadhi sababu zinazomvutia mwanaume/mke apige PUNYETO

1. Kuangalia picha za ngono/uchi.
2. Kupenda kupiga stori za ngono.
3. Kusikiliza love story ambayo husisimua na kuamsha hisia za mapenzi.
4. Uvivu wa kufanya kazi/mazoezi.
5. Umbea, kufuatilia stori za maisha ya watu.
6. Tamaa binafsi za ngono.
7. Uoga wa kutongoza
8. Kuridhika na maisha binafsi aliyonayo mtu/kutokuhitaji maendeleo zaidi.
9. Kukaakaa vijiweni.
10....................................
11. Kutokuridhika na mpenzi ulienae.
12. Kuwa mwoga/kutokueleza wazi kwa mpenzi wako kuwa hujaridhika.  Kwa nini ushindwe kuchukua hatua? wengi huchukulia hili swala kama tatizo, wafanyeje ili waache wakati wengine hawapendi kuyakwepa mazingira hayo?

2. Mkirua

Mkirua JF-Expert Member

#2
Aug 2, 2011
Joined: Sep 9, 2010
Messages: 5,665
Likes Received: 12
Trophy Points: 135
Alaaaaa! kumbe?

3. IGWE

IGWE JF-Expert Member

#3
Aug 2, 2011
Joined: Feb 3, 2011
Messages: 7,690
Likes Received: 1,127
Trophy Points: 280
mmmmmmh!....umeona eeee

4. Mr Rocky

Mr Rocky JF-Expert Member

#4
Aug 2, 2011
Joined: Oct 10, 2007
Messages: 15,083
Likes Received: 370
Trophy Points: 180
Tumekupata
Safi sana kw awale wapenda kutumia mikono kujiridhisha

5. Eiyer

Eiyer JF-Expert Member

#5
Aug 2, 2011
Joined: Apr 17, 2011
Messages: 27,497
Likes Received: 1,312
Trophy Points: 280
Namba 10????

6. BlackBerry

BlackBerry JF-Expert Member

#6
Aug 2, 2011
Joined: Mar 22, 2011
Messages: 1,844
Likes Received: 3
Trophy Points: 0
duh na wale vijanna waliobalehe

7. A

Ave Ave Maria JF-Expert Member

#7
Aug 2, 2011
Joined: Apr 22, 2011
Messages: 10,758
Likes Received: 24
Trophy Points: 0
Hapo namba 1 sio picha za uchi tu, hata kuwaangalia watu live live wakiwa uchi nako kunaathiri sana. Mi hii nimeishuhudia mara nyingi minjemba ikiwa inapasha kwa kuchungulia watu! Mwingine mpaka unamponda jiwe ndo anastuka mweeh!

8. N

Navoyne JF-Expert Member

#8
Aug 3, 2011
Joined: Dec 12, 2010
Messages: 829
Likes Received: 104
Trophy Points: 60
.................................kumbe ni mtazamo wako.

9. Rutashubanyuma

Rutashubanyuma JF-Expert Member

#9
Aug 3, 2011
Joined: Sep 24, 2010
Messages: 69,367
Likes Received: 3,018
Trophy Points: 280
mimi nilikuwa zamani ninafanya kamchezo haka kabaya kwa sababu ya binti mmoja alinizengua sana nikiwa shuleni halafu sikumwona tena........................kwa hiyo nikawa nikimwazamuwaza huku nikijishikashika maeneo fedhuli na baadaye nikawa ninajisikia vyema............lakini ashiki hunirudiarusia tena na tena.........................sijui alinifanya nini?

10. Rutashubanyuma

Rutashubanyuma JF-Expert Member

#10
Aug 3, 2011
Joined: Sep 24, 2010
Messages: 69,367
Likes Received: 3,018
Trophy Points: 280
Kipipi tupe ya kwako binafsi ndiyo tutakuamini ya wengineo.............................utakuwa unatujaza na hisia zako binafsi tu................

11. afrodenzi

afrodenzi Platinum Member

#11
Aug 3, 2011
Joined: Nov 1, 2010
Messages: 18,045
Likes Received: 2,223
Trophy Points: 280
Tatizo???????

12. First Born

First Born JF-Expert Member

#12
Aug 3, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 5,291
Likes Received: 71
Trophy Points: 145

zitoke.

13. A

Ave Ave Maria JF-Expert Member

#13
Aug 3, 2011
Joined: Apr 22, 2011
Messages: 10,758
Likes Received: 24
Trophy Points: 0

wewe ulikuwa unataka kungonoka na binti wa watu eeh? Alafu baadae ilikuwaje ukaacha? Haya waambie na wenzako ili nao waache.

14. A

Ave Ave Maria JF-Expert Member

#14
Aug 3, 2011
Joined: Apr 22, 2011
Messages: 10,758
Likes Received: 24
Trophy Points: 0

Za kwangu binafsi zitoke wapi? Hiyohiyo moja tu ndo nimewahi kujionea enzi zile bado niko skonga. Yaani midume ilikuwa inakuja na vipande vya sabuni inasubiri watu waanze kuoga na yenyewe ina anza kazi......duh! Sijui walikuwa hawana kazi ya kufanya????

Loading...