Je, nini sababu ya kuwepo kwa makosa makubwa kama haya kwenye kitabu cha physics kidato 4 na 1 cha TIE?

mrPhysics

Member
Oct 3, 2023
65
99
Mimi ni muhitumu wa Phy kutoka chuo Y, nimeweza notice some very serious errors katika kitabu cha physics form one na form four TIE na kujaribu kuwatumia email lakini sikupata any response.

On my personal thought ni kuwa, watoto wanajifunza makosa ya wahariri and not all teachers can notice. Hii Ina maanisha nini katika vitabu vya TIE? Ni pendekezo langu hilo kosa liweze kurekebishwa.

Asante.

Screenshot_20231017-221927.jpg

For pnp transistor emitter and base region is forward biased lakini ukiangalia mchoro sio sahihi.
 
Polen saana. Huenda ni mistakes kidogo Ila binafsi nawapongeza saana TIE kwenye vitabu vyao kwakweli wamejitajidi saana kuandika sio zile mambo za nyambari nyangwine
Ni sahihi wamejitahid sana ni just errors ndogo ndogo zinazoweza rekebishika tu.
 
Mimi ni muhitumu wa phy kutoka chuo y , nimeweza notice some very serious error katika kitabu Cha physics form one na form four TIE na kujaribu kuwatumia email lakini sikupata any response....
Uko vizuri 👍👍👍
 
Una mwandiko mbaya halafu unakosoa wenzako,umemaliza chuo kweli? kuandika Kiswahili fasaha ni tatizo ,halafu kuchanganya Kiswahili na English kwenye mada moja ni ujinga andika kwa kutumia lugha moja .
Sawa mwenye akili.🙏
 
Maneno matupu bila vitendo
There is always negative people abstaining every positive outcome, it doesn't surprise me.We can't all be engineers and that's final. one more thing you didn't even ask my achievement your assertion just assumed that I can't repair active or passive components of electronic devices, and that tells a lot about you.
 
Una mwandiko mbaya halafu unakosoa wenzako,umemaliza chuo kweli? kuandika Kiswahili fasaha ni tatizo ,halafu kuchanganya Kiswahili na English kwenye mada moja ni ujinga andika kwa kutumia lugha moja .
Dabil,
Well this isn't a formal conversation it's such a shame that you are courageous enough to write such witless and hateful comment just because someone tried to correct something which will save thousands of kids to grasp the true and meaningful concept from the book.

I'm really pissed off and just know that it's such a shame for irresponsible man to hide behind pseudo name and say hateful comments to someone who is trying to do something right, That's the difference between me and you.
 
Mimi ni muhitumu wa phy kutoka chuo y , nimeweza notice some very serious error katika kitabu Cha physics form one na form four TIE na kujaribu kuwatumia email lakini sikupata any response


On my personal thought ni kua kids are learning the mistakes ya editors and not all teachers can notice hii Ina masnisha nini katika vitabu vya TIE , ni pendekezo langu hiyo error iweze kurekebiswa . Asante

View attachment 2784886
For pnp transistor emitter and base region is forward Biased lakini ukiangalia mchoro sio sahihi.
Mwalimu wewe ndio uko chaka kumbuka tunachoangalia ni "emitter -base junction to be biased forward" na ipo sahihi kabisaa and not the emitter and base region '' kumbuka walioandika ni wengi wao ni wataalamu zaid wameshirikiana mfano yupo dr TAALAM KIBONA FROM MUCE YUPO GUD SANA JAMAA
 
Dabil,
Well this isn't formal conversation it's such a shame that you are courageous enough to write such witless and hateful comment just because someone tried to correct something Wich will save thousands of kids to grab the true and meaningful concept from the book .

I'm really pissed off and just know that it's such a shame for irresponsible man to hide behind pseudo name and say hateful comments to someone who is trying to do something right, That's the difference between me and you.
Acha ushamba nina wasiwasi na watoto kama huwalishi matango pori kwenye kipengere cha electronics
 
kama unaandika Kiswahili andika kiswahili na kinyume chake hivyo hivyo, usiwe unachanganya🙏
Kwanini umesema hivyo mkuu ? Me nadhan alivyochanganya lugha imekuwa rahis hata kwa wengine kuelewa, alafu kitu kingine kigumu ni kwamba(naomba niandike kingereza), alot of English technical words have no swahili translation. Ingekuwa ngumu sana kueleweka kama angetumia lugha moja au nasema uongo ndugu yangu..ANYWAYS POINT YAKO WEWE NI NINI ?
 
Una mwandiko mbaya halafu unakosoa wenzako,umemaliza chuo kweli? kuandika Kiswahili fasaha ni tatizo ,halafu kuchanganya Kiswahili na English kwenye mada moja ni ujinga andika kwa kutumia lugha moja .
Mkuu mbona umeandika kama unachukia jamaa alichokisema? Kwani tatizo liko wapi akichanganya lugha? Kwanini hamwongelei kitu kile cha msingi kabisa na mmekazana na hivi vitu vidogo? Jaman naomba mnieleweshe kuna tatizo gani mtu akichanganya lugha? Kama lugha zote ni zinaeleweka na wasomaji?
 
Mimi ni muhitumu wa phy kutoka chuo y, nimeweza notice some very serious error katika kitabu cha physics form one na form four TIE na kujaribu kuwatumia email lakini sikupata any response.

On my personal thought ni kua kids are learning the mistakes ya editors and not all teachers can notice hii Ina maanisha nini katika vitabu vya TIE, ni pendekezo langu hiyo error iweze kurekebishwa. Asante

View attachment 2784886
For pnp transistor emitter and base region is forward Biased lakini ukiangalia mchoro sio sahihi.
Fungua hilo fail uangalie vizr
 

Attachments

  • phys (1).docx
    146.8 KB · Views: 3
Back
Top Bottom