unahakikivipi kama na wewe siyo zezeta tuKusikia bila kuhakiki ni uzezeta.
unahakikivipi kama na wewe siyo zezeta tu
Wewe mwenyewe hapo umeshajichumia dhambi bureee kwa kumhukumu binadamu mwenzako. Ya nini?
mwaka huu sijui atapewa ngapi? mpaka akaondoke madarakani atakuwa na vyeo zaidi ya Idi Aminmavyeo kama ya alhaji komredi nduli idi amini
Ukienda Maca huku unajua wewe ni mnafiki unarudi Marehemu.
Imeniuma? kwanini? kauli yako hii "ina kuhusu nini uhusiano wa mtu na Muumba wake?" ulisahau kuwa JK ni rais wa Tanzania tuna haki ya kumjadili
Hawezi kwenda akienda utafanyaje? -Atakuwa ametekeleza nguzo ya tano ya dini yake kama sikosei ila sahau JK kwenda Mecca labda ihamishiwe Marekani
Siyo msafi? - wewe mungu? - kwani mimi nataka kwenda Mecca, mimi siyo Mungu ila JK siyo msafi hata kidogo.
Imeniuma? kwanini?
Hawezi kwenda akienda utafanyaje?
Siyo msafi? - wewe mungu?
jamani ivi ni kwanini mh. Dr dr dr j.kikwete haendi mecca hukiji nae aitwe alhad'j dr dr dr kikwete.
Wee Mgalatia ! panaitwa Makkah! .......... tunajua nini maana ya MECCA, hivyo tuondolee UKAFIRI WAKO HAPA!!Hawezi kwenda Mecca,huko hakuna casinos,basketball courts,cinema halls na mbaya zaidi hairusiwi kwenda na vimada...teh...teh...teh
anahofia akienda wataanza kumwita alihaj atashindwa kuchakachua vzuri
Punguza jazba mzeeWee Mgalatia ! panaitwa Makkah! .......... tunajua nini maana ya MECCA, hivyo tuondolee UKAFIRI WAKO HAPA!!
Hivi kwenda Jerusalem pia ni kuhiji? au ile ni Tour kama vile kwenda mji Mkongwe, Zanzibar?