KWA NINI KIKWETE HAENDI KUHIJI (HIJJAH) MECCA? Ili aitwe Alhadj Dr Dr Dr J.Kikwete

ukifatilia kwa umakini masharti ya Hijja,wengi wa waislam wanaokwenda miaka hii wanaenda tembea tu,na kujitafutia sifa za kinafki,kwa hiyo wakati mwingine ukujijua na kujitambua vizuri haina haja ya kupoteza pesa yako na muda kwenda Makka
 
Imeniuma? kwanini? kauli yako hii "ina kuhusu nini uhusiano wa mtu na Muumba wake?" ulisahau kuwa JK ni rais wa Tanzania tuna haki ya kumjadili
Hawezi kwenda akienda utafanyaje? -Atakuwa ametekeleza nguzo ya tano ya dini yake kama sikosei ila sahau JK kwenda Mecca labda ihamishiwe Marekani
Siyo msafi? - wewe mungu? - kwani mimi nataka kwenda Mecca, mimi siyo Mungu ila JK siyo msafi hata kidogo.

mambo yamtu binafsi hayapaswi kuingiliwa hata kama ni Raisi.
 
Imeniuma? kwanini?

Hawezi kwenda akienda utafanyaje?

Siyo msafi? - wewe mungu?

Hawezi kwenda Mecca,huko hakuna casinos,basketball courts,cinema halls na mbaya zaidi hairusiwi kwenda na vimada...teh...teh...teh
 
jamani ivi ni kwanini mh. Dr dr dr j.kikwete haendi mecca hukiji nae aitwe alhad'j dr dr dr kikwete.

suala la hijja si lele mama,ukitoka kule unakua umezaliwa upya,hutakiwi kufanya maasi ya kumuuz mungu,sasa akienda kuhji itakuaje wakat hata sis raia tunalalamikia utawala wake kwa maovu lukuki asiyoyakemea
 
Mh! Uwanja wanu huo.nisije nikastaajabu simu yangu ninayo tumia kuchamgia mada ikanishtaki nikajikuta mm na segerea,segerea na mm.
 
Muda wake bado, ngoja ale raha za dunia kwanza akimaliza atenda kuhiji ila kwa sasa sio rahisi. Madili yake amuachie nani??
 
Hawezi kwenda Mecca,huko hakuna casinos,basketball courts,cinema halls na mbaya zaidi hairusiwi kwenda na vimada...teh...teh...teh
Wee Mgalatia ! panaitwa Makkah! .......... tunajua nini maana ya MECCA, hivyo tuondolee UKAFIRI WAKO HAPA!!
Hivi kwenda Jerusalem pia ni kuhiji? au ile ni Tour kama vile kwenda mji Mkongwe, Zanzibar?
 
anahofia akienda wataanza kumwita alihaj atashindwa kuchakachua vzuri
 
Wee Mgalatia ! panaitwa Makkah! .......... tunajua nini maana ya MECCA, hivyo tuondolee UKAFIRI WAKO HAPA!!
Hivi kwenda Jerusalem pia ni kuhiji? au ile ni Tour kama vile kwenda mji Mkongwe, Zanzibar?
Punguza jazba mzee
 
Hizo Dr mbona kama umempunja jamani?Ziko 6 kama sikosei (sijaangalia media muda,kama kuna iliyoongezeka). Samahani kama nimekukwaza!
 
Ameishaenda mwaka 2006-8 yeye na mama salma wote wameenda hija nilibahatika kuona picha zao wote wakiwa katika mavazi meupe wakiwa na waumini wengine msikurupuke na thread zisizo na mwerekeo.
 
Back
Top Bottom