Kwa nini JWTZ wanaweweseka?

Wewe unachobisha nini tarifa za pande za jeshi ni kwamba huyu mtu alikuwa daktari wa mifugo sasa kwenye mifugo kuna nini zaidi ya mbolea na namana ya kuzalisha wanyama tu.

Lakini jeshi hao hao walisema haya hapa

Media reports this week claimed the deserting officer escaped with crucial documents that could jeopardise the country's security.
But Major Komba yesterday dismissed the reports saying the rank of the missing officer "was too junior to access confidential TPDF documents." A Lieutenant Colonel is a rank above that of Major.

"Immediately after we launched investigations over his misconduct in the army, we took all the equipment and all our important documents, what he can only do now, if at all, is to establish a college and teach people who are interested in Information Technology (IT) career," he said.

There have been reports that Lt. Col. Seromba was TPDF's head of IT department which handles all crucial classified documents of the army, the assertions that were categorically denied by Major Komba

Rwanda Realities: Tanzania: Army: Deserter not in Rwanda

http://www.thecitizen.co.tz/News/Army--Deserter-not-in-Rwanda/-/1840392/1967152/-/4t3863/-/index.html


Halafu unatwambia ni mtu wa VET...ebu fafanua.
 
Umemaliza tuendelee na mjadala mwingine maana nyie watoto mnasikia raha kubishana na kakayako KakaKiiza...niambie ili niendelee na mengine!
Kwani maziwa yakiisha mdomoni utanyamanza tu!

Wewe ndio matope kabisa. Ungekuwa na akili japo kidogo tu usingeleta mada mfu kama hii. Unajua nini wewe kuhusu nyaraka za siri na mfumo wa jeshi? Rumour monger tu wewe unadhani kila habari ni udaku tu.
 
Last edited by a moderator:
naomba link yenye habari zaidi kuhusu utorokaji ya huyu luteni kanali.
jibu eti katoroka ni njia tu ya kuipoza familia yake jamaa ilishanyamazishwa milele alidakwa south akiwa njiani kwenda usa zaidi 6month ago pole wanapropanda wa kagame
 
Wewe ndio matope kabisa. Ungekuwa na akili japo kidogo tu usingeleta mada mfu kama hii. Unajua nini wewe kuhusu nyaraka za siri na mfumo wa jeshi? Rumour monger tu wewe unadhani kila habari ni udaku tu.
I wish if could i know your gender!
 
Nasikia siku mabomu ya Gongo la Mboto yalipolipika JWTZ walikimbia na kuogopa kama kifaranga anaetaka kuibiwa na mwewe
Kwahiyo we ulitaka wakae kwakua bomu linaangalia huyu mwanajeshi halitamuua? That was a wise choice to run and save your life,kukimbia sio woga pia ni silaha na inasaidia sana kama unajua kuitumia vizuri. Weldone makamanda kama we ungekua hata koplo ungesimama???
 
Hapa juzi tumesikia kuwa yule lutenkanali aliyetoroka apasua vichwa ndani ya JWTZ,
Lakini kutokana na maelezo ya Meja Komba ambaye ni msemaji wa JWTZ aliwahakikishia watanzania kuwa huyo lutenkanali hakuondoka na nyaraka zozote za msingi kutokana na wadhifa aliokuwa nao, lakini tunaambiwa serikali inawasiwasi! je nini wasiwasi wa serikali kama mtu mwenyewe hakuwa katika kitengo muhimu??
My take; Jamaa atakuwa alikuwa na data muhimu za kijeshi na ushauri wangu ni jeshi wabadilishe system yao.

Mkuu soma hiyi : https://www.jamiiforums.com/jamii-i...a-ulinzi-usalama-wa-taifa-lt-col-seromba.html
 
kuna tetesi mchizi ni mnyarwanda...kwo kaondoka na taswira halisi ya jeshi...nadhani ndio kisa cha kuwa na wasi wasi...jiulize kwa nini kagame ana kiburi
 
Kama ni IT itakua kaondoka na frash ya mafaili ya vifalu na ndege na idadi ya infants
 
Back
Top Bottom