Ni ukweli usiokanushika kuwa Sheikh Ilunga alitoa na kusambaza Dvds nyingi sana ambazo zilikuwa zinahimiza watu wa imani yake kuwaua Maaskofu, Mapadri na Wachungaji pale inapotokea kuwa Sheikh ameuawa. Binafsi ninazo Dvds hizo na za Masheikh wengine. Hili ni jambo wazi wala halina ubishi kuwa Dvds hizo bado zipo na zinaendelea kuonyeshwa maeneo mbali mbali.
Nimebahatika pia kusikiliza Cd ya Askofu Mpemba ambayo ina wachangiaji karibu watatu au wanne. Askofu Mpemba hayuko peke yake katika hiyo Cd ya Inuka, Chinja, Ule. Mantiki ya Cd hiyo ukiisikiliza ni kuwafundisha Wakristu kuhusu jinsi ya kuchinja wanyama na ndege kwa misingi ya imani yao. Hawakutaja lolote kuhusu kuchinja mwanadamu. Fungua hii You Tube hapa: Inuka, Chinja, Ule Part 1 - YouTube
Nakumbuka moja kati ya maswali sita ambayo Maaskofu waliokwenda kumuona Rais pale Ikulu kwenye mwezi wa tano mwaka huu walimuuliza ifuatavyo: "Kwa upande wetu sisi Wakristo tungependa kujua nini hasa kosa la Askofu Augustine Mpemba wa Kanisa la Tanzania Field Evangelism anayetafutwa na vyombo vya dola, na kwa nini atafutwe"
Pamoja na kwamba swali hilo bado linasubiri majibu, ni vema kujiuliza hivi huyu Askofu anatafutwa ili kuwafurahisha Waislamu kwa sababu ya kukamatwa kiongozi wao Sheikh Ilunga au kweli Cd tajwa ina uchochezi wowote ndani yake?
Mara ya mwisho niliuliza hapa jamvini kama kuna mtu aliyewahi kuisikiliza hiyo Cd na kuona uchochezi wowote mle ndani lakini wachangiaji wote wakaanza habari ya Yesu kuwa ni Mungu na wengine siyo Mungu kitu ambacho sikuwa nimeuliza.
Kama ni swala la kubalance nadhani ni sawa akamatwe. Lakini kama ni swala la haki ya mtu ya Kikatiba, itakuwa ni uonevu mkubwa na inaweza isiwe jambo jema.
Naomba kila mmoja aisikilize ili kuondoa mzizi wa fitina katika taifa. Naiweka tena hapa: Inuka, Chinja, Ule Part 1 - YouTube