Kwa Nini Hasa Askofu Akamatwe? Ili Kubalance?

Oikos

Senior Member
May 5, 2011
198
170
Ni ukweli usiokanushika kuwa Sheikh Ilunga alitoa na kusambaza Dvds nyingi sana ambazo zilikuwa zinahimiza watu wa imani yake kuwaua Maaskofu, Mapadri na Wachungaji pale inapotokea kuwa Sheikh ameuawa. Binafsi ninazo Dvds hizo na za Masheikh wengine. Hili ni jambo wazi wala halina ubishi kuwa Dvds hizo bado zipo na zinaendelea kuonyeshwa maeneo mbali mbali.

Nimebahatika pia kusikiliza Cd ya Askofu Mpemba ambayo ina wachangiaji karibu watatu au wanne. Askofu Mpemba hayuko peke yake katika hiyo Cd ya Inuka, Chinja, Ule. Mantiki ya Cd hiyo ukiisikiliza ni kuwafundisha Wakristu kuhusu jinsi ya kuchinja wanyama na ndege kwa misingi ya imani yao. Hawakutaja lolote kuhusu kuchinja mwanadamu. Fungua hii You Tube hapa: Inuka, Chinja, Ule Part 1 - YouTube

Nakumbuka moja kati ya maswali sita ambayo Maaskofu waliokwenda kumuona Rais pale Ikulu kwenye mwezi wa tano mwaka huu walimuuliza ifuatavyo: "Kwa upande wetu sisi Wakristo tungependa kujua nini hasa kosa la Askofu Augustine Mpemba wa Kanisa la Tanzania Field Evangelism anayetafutwa na vyombo vya dola, na kwa nini atafutwe"

Pamoja na kwamba swali hilo bado linasubiri majibu, ni vema kujiuliza hivi huyu Askofu anatafutwa ili kuwafurahisha Waislamu kwa sababu ya kukamatwa kiongozi wao Sheikh Ilunga au kweli Cd tajwa ina uchochezi wowote ndani yake?

Mara ya mwisho niliuliza hapa jamvini kama kuna mtu aliyewahi kuisikiliza hiyo Cd na kuona uchochezi wowote mle ndani lakini wachangiaji wote wakaanza habari ya Yesu kuwa ni Mungu na wengine siyo Mungu kitu ambacho sikuwa nimeuliza.

Kama ni swala la kubalance nadhani ni sawa akamatwe. Lakini kama ni swala la haki ya mtu ya Kikatiba, itakuwa ni uonevu mkubwa na inaweza isiwe jambo jema.

Naomba kila mmoja aisikilize ili kuondoa mzizi wa fitina katika taifa. Naiweka tena hapa: Inuka, Chinja, Ule Part 1 - YouTube
 
ugasa

Senior Member
Oct 21, 2013
193
0

Edited hii. na wewe inaonekana chadema (samahani wakuu wa chadema)ndio hapo mwanzo walikuwa wanapinga sana
 
Mapi

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
6,853
1,250
cdm inahusikaje mkuu ugasa hebu niamshe usingzini.
 
Last edited by a moderator:

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,495
2,000
lakini kama waliahidi wanamtafuta. mahakama ndio maamuzi na sio wewe. mahakama ndio inatafsiri sheria

Na kama mahakama ndio inayoamua na kutafsiri sheria basi tuichie mahakama hiyohiyo kwani ina utaratibu wake na sio sisi kuishinikiza.
 
ugasa

Senior Member
Oct 21, 2013
193
0
Na kama mahakama ndio inayoamua na kutafsiri sheria basi tuichie mahakama hiyohiyo kwani ina utaratibu wake na sio sisi kuishinikiza.
mahakama haimkamati mtu. polisi ndio wanaopeleka mahakamani. Ilunga haikwenda mahakama kumchukua. tumia akili usitumie mafua
 
ugasa

Senior Member
Oct 21, 2013
193
0

Ni kweli Mahakama wanatafsiri sheria lakini hawatafsiri imani za watu

polisi walisema wanamtafuta na kumpeleka mahakamani. hapa issue ni kupelekwa mahakamani. na acheni kutetea uhalifu. hata biblia inakataza mnachofanya nyinyi. kutetea uhalifu
 
Vikao vya Harusi

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
498
250
polisi walisema wanamtafuta na kumpeleka mahakamani. hapa issue ni kupelekwa mahakamani. na acheni kutetea uhalifu. hata biblia inakataza mnachofanya nyinyi. kutetea uhalifu

Biblia ipi unayoijua ww,?ni agano lipi?,kitabu kipi? Mstari upi?

Stop being pathetic
 
kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
7,217
2,000
Ni ukweli usiokanushika kuwa Sheikh Ilunga alitoa na kusambaza Dvds nyingi sana ambazo zilikuwa zinahimiza watu wa imani yake kuwaua Maaskofu, Mapadri na Wachungaji pale inapotokea kuwa Sheikh ameuawa. Binafsi ninazo Dvds hizo na za Masheikh wengine. Hili ni jambo wazi wala halina ubishi kuwa Dvds hizo bado zipo na zinaendelea kuonyeshwa maeneo mbali mbali.

Nimebahatika pia kusikiliza Cd ya Askofu Mpemba ambayo ina wachangiaji karibu watatu au wanne. Askofu Mpemba hayuko peke yake katika hiyo Cd ya Inuka, Chinja, Ule. Mantiki ya Cd hiyo ukiisikiliza ni kuwafundisha Wakristu kuhusu jinsi ya kuchinja wanyama na ndege kwa misingi ya imani yao. Hawakutaja lolote kuhusu kuchinja mwanadamu. Fungua hii You Tube hapa: Inuka, Chinja, Ule Part 1 - YouTube

Nakumbuka moja kati ya maswali sita ambayo Maaskofu waliokwenda kumuona Rais pale Ikulu kwenye mwezi wa tano mwaka huu walimuuliza ifuatavyo: "Kwa upande wetu sisi Wakristo tungependa kujua nini hasa kosa la Askofu Augustine Mpemba wa Kanisa la Tanzania Field Evangelism anayetafutwa na vyombo vya dola, na kwa nini atafutwe"

Pamoja na kwamba swali hilo bado linasubiri majibu, ni vema kujiuliza hivi huyu Askofu anatafutwa ili kuwafurahisha Waislamu kwa sababu ya kukamatwa kiongozi wao Sheikh Ilunga au kweli Cd tajwa ina uchochezi wowote ndani yake?

Mara ya mwisho niliuliza hapa jamvini kama kuna mtu aliyewahi kuisikiliza hiyo Cd na kuona uchochezi wowote mle ndani lakini wachangiaji wote wakaanza habari ya Yesu kuwa ni Mungu na wengine siyo Mungu kitu ambacho sikuwa nimeuliza.

Kama ni swala la kubalance nadhani ni sawa akamatwe. Lakini kama ni swala la haki ya mtu ya Kikatiba, itakuwa ni uonevu mkubwa na inaweza isiwe jambo jema.

Naomba kila mmoja aisikilize ili kuondoa mzizi wa fitina katika taifa. Naiweka tena hapa: Inuka, Chinja, Ule Part 1 - YouTube
Kama hujaelewa bado mkuu, kwa waislaam aina ya ilunga, wakristo lazima waelezwe kweli 'uislaam ndio kweli ukristo ni uongo'. Kwa hivyo wanapowaambia wakristo ukristo ni uongo hivyo wakubali na sio kuleta ubishi na dola ikubali maana ndio ukweli (universal truth). Wao uhuru wa kuabudu kila mtu dini aitakayo hawakubali. Hiyo ndio concept ya kina ilunga na ponda na wote wanaowaunga mkono. Kwa msingi huo pandri mpemba ana kesi ya kujibu kwenye dola kwa kudai wakristo wanaweza kuchinja....Je wananchi (hasa wakristo) na dola wanaweza kukubaliana na watu kama hawa kwa mustakabali wa amani ya nchi?
 
Oikos

Senior Member
May 5, 2011
198
170
mahakama haimkamati mtu. polisi ndio wanaopeleka mahakamani. Ilunga haikwenda mahakama kumchukua. tumia akili usitumie mafua

Sheikh Ilunga alijipeleka mwenyewe Polisi. Acha na Askofu Mpemba ajipeleke mwenyewe
 
Oikos

Senior Member
May 5, 2011
198
170
Kama hujaelewa bado mkuu, kwa waislaam aina ya ilunga, wakristo lazima waelezwe kweli 'uislaam ndio kweli ukristo ni uongo'. Kwa hivyo wanapowaambia wakristo ukristo ni uongo hivyo wakubali na sio kuleta ubishi na dola ikubali maana ndio ukweli (universal truth). Wao uhuru wa kuabudu kila mtu dini aitakayo hawakubali. Hiyo ndio concept ya kina ilunga na ponda na wote wanaowaunga mkono. Kwa msingi huo pandri mpemba ana kesi ya kujibu kwenye dola kwa kudai wakristo wanaweza kuchinja....Je wananchi (hasa wakristo) na dola wanaweza kukubaliana na watu kama hawa kwa mustakabali wa amani ya nchi?

Hapo kwenye red soma tena ndugu yangu....
Kwani Katiba imesema imani gani ndiyo yenye ruksa ya kuchinja? Nipatie na kifungu au vifungu kadhaa tafadhali
 
ugasa

Senior Member
Oct 21, 2013
193
0
Ni ukweli usiokanushika kuwa Sheikh Ilunga alitoa na kusambaza Dvds nyingi sana ambazo zilikuwa zinahimiza watu wa imani yake kuwaua Maaskofu, Mapadri na Wachungaji pale inapotokea kuwa Sheikh ameuawa. Binafsi ninazo Dvds hizo na za Masheikh wengine. Hili ni jambo wazi wala halina ubishi kuwa Dvds hizo bado zipo na zinaendelea kuonyeshwa maeneo mbali mbali.

Nimebahatika pia kusikiliza Cd ya Askofu Mpemba ambayo ina wachangiaji karibu watatu au wanne. Askofu Mpemba hayuko peke yake katika hiyo Cd ya Inuka, Chinja, Ule. Mantiki ya Cd hiyo ukiisikiliza ni kuwafundisha Wakristu kuhusu jinsi ya kuchinja wanyama na ndege kwa misingi ya imani yao. Hawakutaja lolote kuhusu kuchinja mwanadamu. Fungua hii You Tube hapa: Inuka, Chinja, Ule Part 1 - YouTube

Nakumbuka moja kati ya maswali sita ambayo Maaskofu waliokwenda kumuona Rais pale Ikulu kwenye mwezi wa tano mwaka huu walimuuliza ifuatavyo: "Kwa upande wetu sisi Wakristo tungependa kujua nini hasa kosa la Askofu Augustine Mpemba wa Kanisa la Tanzania Field Evangelism anayetafutwa na vyombo vya dola, na kwa nini atafutwe"

Pamoja na kwamba swali hilo bado linasubiri majibu, ni vema kujiuliza hivi huyu Askofu anatafutwa ili kuwafurahisha Waislamu kwa sababu ya kukamatwa kiongozi wao Sheikh Ilunga au kweli Cd tajwa ina uchochezi wowote ndani yake?

Mara ya mwisho niliuliza hapa jamvini kama kuna mtu aliyewahi kuisikiliza hiyo Cd na kuona uchochezi wowote mle ndani lakini wachangiaji wote wakaanza habari ya Yesu kuwa ni Mungu na wengine siyo Mungu kitu ambacho sikuwa nimeuliza.

Kama ni swala la kubalance nadhani ni sawa akamatwe. Lakini kama ni swala la haki ya mtu ya Kikatiba, itakuwa ni uonevu mkubwa na inaweza isiwe jambo jema.

Naomba kila mmoja aisikilize ili kuondoa mzizi wa fitina katika taifa. Naiweka tena hapa: Inuka, Chinja, Ule Part 1 - YouTube

kuna watu wanaamini Maaskofu hawawezi kufanya makosa kama waungu. hili ndilo tatizo ndio maaana wanaanzisha post kama hizi. Mwenye akili hawezi kutetea uchochezi wa MPEMBA. hata angalikuwa sheikh mimi ningalipendekeza apelekwe mahakamani
 
kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
7,217
2,000
Hapo kwenye red soma tena ndugu yangu....
Kwani Katiba imesema imani gani ndiyo yenye ruksa ya kuchinja? Nipatie na kifungu au vifungu kadhaa tafadhali
Ungenielewa vema kwanza mkuu. Katiba ya nchi haifungamani na dini yoyote (secular constitution) kwa hivyo haiwezi kuwa na kifungu 'dini gani ina haki ya kuchinja mnyama'
 
Ringtone

JF-Expert Member
Nov 21, 2013
489
0
Hawa jamaa,
wanapigia haki ya kuchinja mchana usiku washindia makalio ya wakezao.pingeni dhambi hizo kuu haya ya kuchinja madogo sana
 
Oikos

Senior Member
May 5, 2011
198
170
Ungenielewa vema kwanza mkuu. Katiba ya nchi haifungamani na dini yoyote (secular constitution) kwa hivyo haiwezi kuwa na kifungu 'dini gani ina haki ya kuchinja mnyama'

If that is a case the bishop hasn't broken any part of the constitution. Then we are in the same page! Asante sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom