Kwa nini hakuna rollover kwa unused internet bundles?

payuka

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
829
127
Watanzania tumekubali kuibiwa? Au ni mimi peke yangu nakuwa mlalamishi? Lakini sidhani kama ni haki nimelipia internet bundles afu inatokea zijazitumia then ikifika expiry date zinakuwa cancelled off! Ile ni pesa ( electronic money) in another form! Kwanini pesa yako ambayo haijatumika isiwe rolled over?
 
Katka hali ya kawaida sio sahihi kabisa ni wizi, lakin katika biashara hata ka ungekua wewe ungefanya hivo. Vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Katika biashara ukinunua umenunua kama ukutumia basi.Mfano umenunua gari alafu baadaae haukutimia utarudisha kwa aliyekuuzia?Kwa hiyo nao wanajua umenununa kama ukutumia wao kimahesabu lazima hiyo pesa watumie.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom