kwa nini chuki?

kwa nini chuki?

Kweli ati,, hivi ni kwa nini? Why? Por que? Pochemu? Nkiki?
 
Hapa inahitajika kwanza, definition ya Chuki ! What it's?
The condition of being definite!
Ndiyo mchakachuo ufate.
 
Chuki inasababishwa na Mapenzi na Tamaa za mali pamoja na wivu usio na tija.
 
wivu ndo chanzo cha chuki. twaoneana wivu ndo mana twachukiana!
 
Hahahaa TANMO ni lugha gani hiyo?

hizo ni baadhi tu ya lugha zile TANMO anazungumza,, ongezea Kiyunani, kilingala, kibaikoko, kigiriki, kindali, kimasai, ki (nitarejea)

BTW wikiendi yako inakwendaje kaka?
 
Last edited by a moderator:
Tunachukiana kwasababu tunaogopana/
tunaogopana kwa sababu hatujajuana/
hatujuani kwa sababu tunatengeana/

by Fid Q
 
Back
Top Bottom