KWA NINI CHENGE KILA KASHIFA YUMO

Kwa sababu anajua mianya ya sheria zetu anaitumia ipasavyo
 
He. Is the best striker of the century in Tanzania for graft and bribe.
 
Kwasababu ya maajabu ya jina lake!

Ukiitumia "A" kwenye "E" jina linbadilika kuwa la kizungu likiwa na maana tofauti na lile la kiswahili, Fuatana nami:-
Cheng'A' = Chenga - hapo utamkamataje?

Ch'A'nge = change - anakuwa amebadilika yeye au unabadilika wewe!!!

Niambieni unamkamataje?
 


Haaaaaa haaaa haaaa haaaaaa teeeh Haaa haaa Haaa haaa
 
Ukiwa AG harafu mjanja mjanja lazima upige tu hamna namna ..vetting haikufanyika wakati wa uteuzi wake.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…