BALAGASHIA
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 392
- 383
Mtabaki mnakamata vidagaa tu huyu hakuna wa kumgusa, muulize marehemu mzee sitta
Kwasababu ya maajabu ya jina lake!
Ukiitumia "A" kwenye "E" jina linbadilika kuwa la kizungu likiwa na maana tofauti na lile la kiswahili, Fuatana nami:-
Cheng'A' = Chenga - hapo utamkamataje?
Ch'A'nge = change - anakuwa amebadilika yeye au unabadilika wewe!!!
Niambieni unamkamataje?
Ni suala la muda tumwacheni tu chenge ale nchi bana, jamaa namkubali sana kwa dili na anajiamini kinoma, inshort Tz imemshindwa hawana cha kumfanya