Kwa nilichoshuhudia Jana usiku, kuna uwezekano matukio ya Moto hayatokei kwa bahati mbaya

Baada ya bwana katelephone kuunda kamati ya siku saba kuchunguza chanzo cha moto utasikia mama katoa bil. 30 kujenga soko la karume......it is business as usual.
 
Ni aibu kweli, moto unawaka usiku muda ambao shughuli zote zinazohitaji umeme hazitumii umeme, ila mchana muda ambao watu wako busy kutumia umeme moto hauwaki… hiki ni kichekesho hata chizi anaelewa ni kitu gani kinaendelea.
 
Kuna mdau mmoja kasema anapoongoza Amos Makala majanga ya Moto ni Jambo la kawaida 😅
 
Masoko yote makubwa "huunguzwa" usiku. Fwatilia kuanzia mwanjelwa mbeya. Sababu kuu. Mchana watakufa watu wengi wakati lengo ni kuya jenga kisasa.
 
Back
Top Bottom