kidambinya
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 1,190
- 1,728
Hii Eid imekuwa Pilot, ugonjwa usipoenea basi nchi itafunguliwa rasmi.

Hii Eid imekuwa Pilot, ugonjwa usipoenea basi nchi itafunguliwa rasmi.
View attachment 1459499
Leo ni siku ya PILI watu waki enjoy siku kuu ya Eid!
Nimetembea hadi coco beach kwenye PARTE AFTER PARTE YA MKOA LEO, nilifika pale mida ya saa kumi jioni nikiwa nataka kuona kwa macho kama ni kweli watu wana enjoy bila hofu!
Nimeshuhudia watu weeeengi kabisa watoto kwa watu wazima, watanzania kwa wazungu, waarabu na wahindi.
Watu hatukuvaa barakoa wala social distance,
Tulijazana na kuogelea makundi makundi kama zamani!
Watu waliotoka Gongo la Mboto, Mbagala na Temeke au Ilala huko walijaza ufukwe!
Watu walikua wanakula chakula walichobeba kutoka home, wengine walinunua mihogo, soda na beer!
Wengine walipata wapenzi wapyaaaaa japo wengi ni wasichana wadogo wadogo na sio wasafi!
Kwa umati nilioshihudia leo NADHANI hakuna corona virus dar es Salaam!
Kama ipo tumeumia.
View attachment 1459503
Video: chini
Kama mnamwongelea magufuli bora mtafute kazi za kufanya. Huyu ni jemedari wa vita baba yetu Mungu amlinde. Hatishiki, hatishwi, anaiiamini kuliko trump
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani konyagi bei gani???
Hapo katumia lugha kimya kimya kumfukuza mtu mzima pasi kujitambua, I mean beberu katimuliwa pasipo kujijua, si walimzuia asiingie amerika sasa wanaondoka kiaina🤔.Ndio maana balozzi Wa US kawaambi wananchi warudi makwao.
Kama think tank ni makonda na nchemba
What do you expect
nipo Dar, siku ingine moshi, siku ingine chugga mkuu...kimajukumu
teh teh teh kawaidaHahaha mkuu naona umerudi katika nafasi yako pendwa
Vp shule mkuu au corona ikiondoka ndo unarud shuleKwa muda tu mkuu
corona ikiisha narudi shule
Usijaribu
Kwa nn inaitwa hivo?Ipi? Bombardia ni elfu nane
Sent from my iPhone using JamiiForums