Kwa nilichoshuhudia coco beach nadhani hakuna corona Dar

Kwa nilichoshuhudia coco beach nadhani hakuna corona Dar

Mtu angekya amefiwa na ndugu au ndugu yake yupo hoi mloganzila huko asingeketa pua yake hapo kwa hofu ya kuugua nakubaliana na wewe huko walipotoka hakuna mgonjwa wa kutolea mfano
Hata Mimi naamini corona imeisha hao watu hapo maana yake ni kwamba katika familia zao hawana hata mgonjwa mmoja wa corona aliyelazwa Amana au mloganzila

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom