GE2025 Kwa nilichokishuhudia Leo kesho 29, hakuna maandamano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hakuna mtu anayetaka kua kilema huku familia inakusubiri wakati wanaohamasisha maandamano wapo nje ya nchi
 
Nchi ina amani tele, kesho ni azimisho kuu la kupiga kura, kura hupigwa kila baada ya miaka mitano kupata rais, wabunge na madiwani
 
Ishu sio uoga au uwanaume, kuwa mpinzani does not mean you have to be in a death cult. These people want to murder you for just existing, you only go to war if you have the same mindset.
 
Yaani nimekutana na hekaheka za wanaume wa Dar, wanawake kwa watoto, masokoni na mabarabarani wakinunua vyakula kama watu wanaojiandaa na janga la njaa..

Wengi wamepanga kujifungia majumbani kwao..hii nchi uoga ndio adui namba moja.

Raisi SAMUYAAAAA!!, hakutakua na nywinywi Wala nyunyinyiii

Adiosss
Jumamosi wafu walijaa kwa mkapa halafu jumatano tuchukue nchi aisee
 
Sasa hivi tumejofungia ndani mkuu tunakula kitu Julia kutoka kwake Koffi Olomide ndani ya RFA. No problem
 
Mambo si hayo sasa,wangeitwa chaumma kula ubwabwa maharage ungewakuta rundo huko.
Kesho huoni mtu mtaani.
Bado masaa ma2
 
Yaani nimekutana na hekaheka za wanaume wa Dar, wanawake kwa watoto, masokoni na mabarabarani wakinunua vyakula kama watu wanaojiandaa na janga la njaa..

Wengi wamepanga kujifungia majumbani kwao..hii nchi uoga ndio adui namba moja.

Raisi SAMUYAAAAA!!, hakutakua na nywinywi Wala nyunyinyiii

Adiosss
Vp mkuu
 
wewe ni mushoga
 
Okay
 
UPUMBAVU.
 
Back
Top Bottom