hakuna maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hakuna maandamano haramu yatayokafanikiwa tena Tanzania

    Unaweza kuthibitisha mwenyewe kwamba wajinga waliisha Tanzania. Hayupo mTanzania atakae kubali tena kujitokeza barabara kupiga mayowe kama mwendawazimu, kopora mali za wengine, kuharibu miundombinu, makazi au ofisi za umma, kumuumiza au kumuua mTanzania mwingine kwa niaba, faida au manufaa ya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Badala ya watawala kukomalia kusema hakuna maandamano 7/7, wangejiuliza kama kuna wananchi wana sababu za msingi za kutaka kuandamana siku hiyo

    Busara katika kukabiliana na jambo lolote unalotaka lisitokee, ni kujiuliza kama kuna sabau za msingi zinazofanya litokeee. Hapo utakuwa unaangalia chanzo, source. Sasa japo ni jambo la kuaibisha (embarrassing) kwa utawala wowote raia wake kuandamana. Inafedhehesha na inatia aibu. Hata...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbunge John Nzilanyingi: D9 hakuna maandamano Mwanza tunakula bata

    Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mwanza, John Nzilanyingi akizungumza na vijana wa jimbo hilo amesema hakuna maandamano yatakayofanyika Disemba 9, 2025. "Tarehe 9 hakuna maandamano, Natamani tutume ujumbe kwa mabeberu ambao wanataka kutuchonganisha vijana wa jiji la Mwanza wamekataa maandamano...
  4. Huihui2

    JamiiForums Tanzania D09 hakuna maandamano na internet itakuwapo

    Just believe me
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Mko wapi machawa mliokuwa mkisema hakuna maandamano? Njooni hapa tuwaone na kuwasikia

    Haiwi haiwi huwa. Waliokuwa wakituzodoa kuwa watanzania ni woga hawawezi kukinukisha mko wapi chawa wakubwa nyie? Samia na tambo za Khadija Kopa yuko wapi? Mnataka amani bila haki. Kweli hii inawezekana? Ushauri wangu wa bure ni kwamba tuache kuishi kwa mazoea binadamu ana tabia zinazobadilika...
  6. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa nilichokishuhudia Leo kesho 29, hakuna maandamano

    Yaani nimekutana na hekaheka za wanaume wa Dar, wanawake kwa watoto, masokoni na mabarabarani wakinunua vyakula kama watu wanaojiandaa na janga la njaa.. Wengi wamepanga kujifungia majumbani kwao..hii nchi uoga ndio adui namba moja. Raisi SAMUYAAAAA!!, hakutakua na nywinywi Wala nyunyinyiii...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Hakuna maandamano tena itakuwa siku tulivu mno

    MO29 hiyooo imebaki saa chache ila kiukweli hakuna maandamano tena itakuwa siku tulivu mno kwa kuwa hamtaki kuambiwa ukweli ruksa kutoa povu.
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paul Makonda: Oktoba 29 hakuna maandamano, wote wanaenda kupiga kura

    Mgombea ubunge wa jimbo la Arusha mjini kuptia chama Cha Mapinduzi CCM Paul Makonda amemhakikishia Mgombea urais kupitia cha hicho kuwa Oktoba 29 hakuna maandano na atapewa kura zakutosha. Makonda amesema " Wananchi wa vijiweni wameniomba kwamba sasa hivi achaneni na habari ya kutokupiga kura...
Back
Top Bottom