johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,986
- 142,002
KILA JAMBOO NA WAKATI OMBA MUNGU AKUPE NA WEWE NAFASI UJILIMBIKIZE KA.MA N SIMPLEKwa namna vijana wa mwendazake walikatiziwa ulaji ghafla kufuatia kifo cha mpendwa wetu, ni dhahiri hawa wa sasa hawatarudia makosa.
Ukiwaangalia akina Polepole ni kama vile wanataka kupata uchizi kwa namna walivyonyang'anywa tonge mdomoni.
Cheo ni dhamana kwa kweli.
Akina Halima James Mdee wanapeta tu!
Hahahaha Mdee anajua kula na kipofu... nikimaanisha anachokipata anammegea kidogo mwenyekiti wake kinyemela maisha yanaendelea. Japo kwa sasa zinaliwa na familia baada ya mwenyekiti wao kutupwa jela.Akina Halima James Mdee wanapeta tu!
Muangalie Mtatiro Julias jamaa ana akili dc muda mchache kishanunua hekari zaidi ya 100 za mikoroshoWateule wa awamu hii watajilimbikizia mali! kwa akili sana.
Bara la Africa linakosa kupata maendeleo yanayostahili kupatikana kutokana na hizo Akili za kujilimbikizia Mali kwa wateule wakisahau kuwa hata ujilimbikizie Mali kiasi gani bado wewe unabaki kuwa wewe ni kiumbe dhaifu sana wala hutoishi milele na hata huo muda utakaoishi Unaweza ukakosa peace of mind katika maisha yako yote,KILA JAMBOO NA WAKATI OMBA MUNGU AKUPE NA WEWE NAFASI UJILIMBIKIZE KA.MA N SIMPLE
Kanunua au katumia cheo chake kuzipata?!!Muangalie mtatiro julias jamaa ana akili dc muda mchache kishanunua hekari zaidi ya 100 za mikorosho
Mitano tena kwa mamaSisi huku tunasema KAZI IENDELEE
Kwa namna vijana wa mwendazake walikatiziwa ulaji ghafla kufuatia kifo cha mpendwa wetu, ni dhahiri hawa wa sasa hawatarudia makosa.
Ukiwaangalia akina Polepole ni kama vile wanataka kupata uchizi kwa namna walivyonyang'anywa tonge mdomoni.
Cheo ni dhamana kwa kweli.
Akina Halima James Mdee wanapeta tu!
Kwa namna vijana wa mwendazake walikatiziwa ulaji ghafla kufuatia kifo cha mpendwa wetu, ni dhahiri hawa wa sasa hawatarudia makosa.
Ukiwaangalia akina Polepole ni kama vile wanataka kupata uchizi kwa namna walivyonyang'anywa tonge mdomoni.
Cheo ni dhamana kwa kweli.
Akina Halima James Mdee wanapeta tu!
Mitano tena kwa mama
Ongezea sauti hadi kule backbenchers wasikie.Bara la Africa linakosa kupata maendeleo yanayostahili kupatikana kutokana na hizo Akili za kujilimbikizia Mali kwa wateule wakisahau kuwa hata ujilimbikizie Mali kiasi gani bado wewe unabaki kuwa wewe ni kiumbe dhaifu sana wala hutoishi milele na hata huo muda utakaoishi Unaweza ukakosa peace of mind katika maisha yako yote,
Wapate Uchizi mazima tu hao wanafiki sio wema kabisa.Ukiwaangalia akina Polepole ni kama vile wanataka kupata uchizi kwa namna walivyonyang'anywa tonge mdomoni.
Kisha ukitoka mali yote inaisha kwakua waliokuzunguka ni masikini wote...Hakuna miundo mbinu kila kitu unakilipiaBara la Africa linakosa kupata maendeleo yanayostahili kupatikana kutokana na hizo Akili za kujilimbikizia Mali kwa wateule wakisahau kuwa hata ujilimbikizie Mali kiasi gani bado wewe unabaki kuwa wewe ni kiumbe dhaifu sana wala hutoishi milele na hata huo muda utakaoishi Unaweza ukakosa peace of mind katika maisha yako yote,