Kwa namna walioachwa na Mwendazake wanavyotaabika, ni dhahiri wateule awamu hii watajilimbikizia mali

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,745
139,516
Kwa namna vijana wa mwendazake walikatiziwa ulaji ghafla kufuatia kifo cha mpendwa wetu, ni dhahiri hawa wa sasa hawatarudia makosa.

Ukiwaangalia akina Polepole ni kama vile wanataka kupata uchizi kwa namna walivyonyang'anywa tonge mdomoni.

Cheo ni dhamana kwa kweli.

Akina Halima James Mdee wanapeta tu!
 
KILA JAMBOO NA WAKATI OMBA MUNGU AKUPE NA WEWE NAFASI UJILIMBIKIZE KA.MA N SIMPLE
 
... wajaribu tuu! ... waone muamko wa kizazi cha wasomi wasio na ajira!
😅
1631561667008.png
 
KILA JAMBOO NA WAKATI OMBA MUNGU AKUPE NA WEWE NAFASI UJILIMBIKIZE KA.MA N SIMPLE
Bara la Africa linakosa kupata maendeleo yanayostahili kupatikana kutokana na hizo Akili za kujilimbikizia Mali kwa wateule wakisahau kuwa hata ujilimbikizie Mali kiasi gani bado wewe unabaki kuwa wewe ni kiumbe dhaifu sana wala hutoishi milele na hata huo muda utakaoishi Unaweza ukakosa peace of mind katika maisha yako yote,
 
Wewe pia na Crimea mnataabika sana kama vile maji kupwa na kujaa.
Kwa namna vijana wa mwendazake walikatiziwa ulaji ghafla kufuatia kifo cha mpendwa wetu, ni dhahiri hawa wa sasa hawatarudia makosa.

Ukiwaangalia akina Polepole ni kama vile wanataka kupata uchizi kwa namna walivyonyang'anywa tonge mdomoni.

Cheo ni dhamana kwa kweli.

Akina Halima James Mdee wanapeta tu!
 
Kwa namna vijana wa mwendazake walikatiziwa ulaji ghafla kufuatia kifo cha mpendwa wetu, ni dhahiri hawa wa sasa hawatarudia makosa.

Ukiwaangalia akina Polepole ni kama vile wanataka kupata uchizi kwa namna walivyonyang'anywa tonge mdomoni.

Cheo ni dhamana kwa kweli.

Akina Halima James Mdee wanapeta tu!

wewe unafaidi nini na utawala huu?
 
Bara la Africa linakosa kupata maendeleo yanayostahili kupatikana kutokana na hizo Akili za kujilimbikizia Mali kwa wateule wakisahau kuwa hata ujilimbikizie Mali kiasi gani bado wewe unabaki kuwa wewe ni kiumbe dhaifu sana wala hutoishi milele na hata huo muda utakaoishi Unaweza ukakosa peace of mind katika maisha yako yote,
Ongezea sauti hadi kule backbenchers wasikie.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Bara la Africa linakosa kupata maendeleo yanayostahili kupatikana kutokana na hizo Akili za kujilimbikizia Mali kwa wateule wakisahau kuwa hata ujilimbikizie Mali kiasi gani bado wewe unabaki kuwa wewe ni kiumbe dhaifu sana wala hutoishi milele na hata huo muda utakaoishi Unaweza ukakosa peace of mind katika maisha yako yote,
Kisha ukitoka mali yote inaisha kwakua waliokuzunguka ni masikini wote...Hakuna miundo mbinu kila kitu unakilipia
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom