Kwa namna hii ananipenda kweli

Kwa namna hii ananipenda kweli

M limenijia wazo kuwa ..huyo Dada hajui kuandika kabla hujafanya maamuzi mengine jaribu kufatilia kwanza...na kama ni vinginevyo basi ujue hakupendi anaku enjoy tuu!
 
Kuna msichana tunakaa naye mtaa mmoja alisema ananipenda na kila nikienda mtaan kwao huwa ananishobokea kusema ananipenda. Nikaamua kuchukua namba yake na kumuuliza kweli unanipenda akasema ee

But kila nikimtumia text hajibu nikimtumia Vocha ili ajibu text but anakaa kimya tuu je kweli uyu mwanamke ananipenda wakat tukikutana anasema huwa ananipenda

Nipe ushauri nimuache au
Wewe unampenda? Nitakushauri nikijua sababu za kuandika ujumbe kwake na ulichosema katika ujumbe huo.

Miafrika mingi hasa mitanzania inafikiri kupendwa ni mpaka ipewe nafasi ya kupiga rungu!
 
Wee badala umpeleke machinjioni unachukua namba ya simu, kwel!! dah! Wanaume wengine bwana.....
 
Mwenzio kapagawa na TATU MZUKA, we unakomaa na MOJA BET. Endelea tu kutuma meseji, utakuwa NYAMBARI NYANGWINE kwa utunzi. mfyuuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom