Kwa namna hii ananipenda kweli

Kwa namna hii ananipenda kweli

Mapenzi hayalazimishwi mkuu.Endelea na majukumu mengine.Huyo ni wa mtu mwingine.Kisicho ridhiki hakiliki
 
Mkapatane huko halaf unakuja kuthibitisha huku?!
 
Wewe ni Mjinga sana mkuu. Kipindi hichi unamtumia dem pesa hovyoo hovyooo..... alafu hakujibu....

Wakati kipindi hichiiii ukimpa dem 10,000 anabandika picha yako ukutanii / anaweka kwenye frem
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom