Kwa namna hii ananipenda kweli

Kwa namna hii ananipenda kweli

kid ink tz mkuu huyo atakuwa na upendo wa dhati kwako lakin hapo wewe ndiyo tatizo kuu, hauko seriously muoga unamuogopa huyo demu na demu anakuchukulia Poa.

Nakushauri kama huwa unaenda na kukutana nae, nenda kamface na umwambie kuwa upo seriously na unampenda kweli na umkazie umwambie kama unanipenda niambie na kama hunipendi sema nishike hamsini zangu.

Vinginevyo utatuma vocha na hizo vocha wanapigiwa wanaomla papuchi wala hupigiwi wewe na wala hujibiwi sms.
Asante bro

Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app
 
Wewe unampenda? Nitakushauri nikijua sababu za kuandika ujumbe kwake na ulichosema katika ujumbe huo.

Miafrika mingi hasa mitanzania inafikiri kupendwa ni mpaka ipewe nafasi ya kupiga rungu!
Umeona umu kila mtuu demu akimwambia ana mpenda anawaza rungu but uyo demu na mm nimetokea kumpenda

Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app
 
Kuna msichana tunakaa naye mtaa mmoja alisema ananipenda na kila nikienda mtaan kwao huwa ananishobokea kusema ananipenda. Nikaamua kuchukua namba yake na kumuuliza kweli unanipenda akasema ee

But kila nikimtumia text hajibu nikimtumia Vocha ili ajibu text but anakaa kimya tuu je kweli uyu mwanamke ananipenda wakat tukikutana anasema huwa ananipenda

Nipe ushauri nimuache au
Kuna msichana tunakaa naye mtaa mmoja alisema ananipenda

Kila nikienda mtaan kwao huwa aninishobokea


shule zinafunguliwa lini?
 
Alishakuambia anakupenda bado unauliza au unataka watu wa jf wamjibie , Nenda tena mtaani kwao kaumuulize kama kabadili mawazo, hapa JF utaoat majibu ya kubashiri tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom