Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,453
- 872,048
Jana Usiku tar 29 Sept kulitokea mwanga mkubwa sana angani wenye umbo la duara ulianza kidogo lakini baadae kikawa kitu kikubwa cha duara na ukawa unazunguka huku ukitembea na baada ya muda kama dk 7 au 8 hivi ukafifia na kupotea ,ilikuwa ni mfano wa Kimbunga hv.
Kama wanasayansi wetu waliona au mitambo yetu kama ililinasa lile tukio ningependa mno kujua ilikuwa ninini kile?
Kama wanasayansi wetu waliona au mitambo yetu kama ililinasa lile tukio ningependa mno kujua ilikuwa ninini kile?