Kwa mwendo huu Tanzania tutafika lini?

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
[h=6]Je wajua Lini tutafika sisi watanzania..tumesukuma magari,pikipiki,,,sasa tuko next level ni flight tu.[/h]
 
hii hutokea hasa kwenye ndege ndogo....ni kawaida kabisa.....

lakini Preta hiyo si ndege ndogo japo yaonekana kiduchu...kwa kuwa ndege ikiwa ardhini huwa haina uwezo wa kupiga reverse huwa kuna kijigari maalumu hutumika kuisukuma/kuivuta ielekee nyuma
 
Jamani hii ni normal practice kwenye Airport nyingi wala hawasukumi kuwasha, hivyo vigari vya kusukuma vipo kibao lakini hiyo sio ndege kubwa kuhitaji hivyo vigari

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
lakini Preta hiyo si ndege ndogo japo yaonekana kiduchu...kwa kuwa ndege ikiwa ardhini huwa haina uwezo wa kupiga reverse huwa kuna kijigari maalumu hutumika kuisukuma/kuivuta ielekee nyuma

hiyo ni sawa....hiyo ndege sidhani kama inabeba watu zaidi ya 20.....ndege kubwa ndio huwa zinasogezwa na vigari......
 
Shine hajajibiwa vizuri bado, labda tu nikazie.
INA MAANA HII NI UNIVERSAL PRACTICE?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom