Kwa Mwendo Huu Kweli Tutakula Nyasi

Kwa Mwendo Huu Kweli Tutakula Nyasi

mkuyati og

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2011
Posts
821
Reaction score
589
A: ndizi bei gani?

B: moja shilingi 100

A: mimi nina shilingi 60

B: kwa shilingi 60 hapo utapata maganda tu

A: basi chukua shilingi 40 unipe ndizi, maganda siyataki kaa nayo tu

" hahahaha hahahaha kazi kwelikweli ":eyebrows:
 
Hahahahaaaaaaa ni mmasaai au wa wapi?
Au ni mpare????
Very Funny
 
very fank, na ndizi yaani ndizi za sh 40 bei gani?
 
Back
Top Bottom