mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,309
- 2,218
Zitto alituambia kwamba CAG Mstaafu Pro.Asad haonekani, vipi mbona hajatuhabarisha kama keshaonekana au la?Hivi ndivyo alivyoandika Zitto kupitia mtandao wa twitter:
Mwezi Oktoba mwaka 2015 Taifa lilikuwa na Akiba ya Chakula Tani 253,600. Tangu Serikali ya CCM ya Awamu ya 5 iingie madarakani haitengi Fedha za kununua chakula cha Akiba na ilichokikuta iliuza ili kununua Ndege. Sasa kuna akiba ya Tani 55,000 tu sawa na kilo 1 tu kila Mtanzania.