Kwa mujibu wa Zitto, hiki ndicho kiwango cha akiba ya chakula Tanzania

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Hivi ndivyo alivyoandika Zitto kupitia mtandao wa twitter:

Mwezi Oktoba mwaka 2015 Taifa lilikuwa na Akiba ya Chakula Tani 253,600. Tangu Serikali ya CCM ya Awamu ya 5 iingie madarakani haitengi Fedha za kununua chakula cha Akiba na ilichokikuta iliuza ili kununua Ndege. Sasa kuna akiba ya Tani 55,000 tu sawa na kilo 1 tu kila Mtanzania.

1578309698415.png
 
ZZK ni mpiga dili tu na wakala wa mabeberu, hii nchi ni tajiri na awamu ya tano imewezesha uchumi kukua kwa zaidi ya 7%, pato la Mtanzania limekuwa pia, mabarabara kila kona, Madege angani, SGR, Stieggler's.

Huyu ZZK ndio wale wanaomkatisha tamaa Rais wetu JPM kipenzi cha wanyonge wa nchi hii, nchi imeliwa sana hii JPM anainyoosha balaa..
 
Mkuu, ule ushauri wa maridhiano ni wa maana mno. Utatunusuru kama taifa ktk mambo mengi sana yenye kuhitaji hekima, maarifa na busara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ZZK ni mpiga dili tu na wakala wa mabeberu, hii nchi ni tajiri na awamu ya tano imewezesha uchumi kukua kwa zaidi ya 7%, pato la Mtanzania limekuwa pia, mabarabara kila kona, Madege angani, SGR, Stieggler's.

Huyu ZZK ndio wale wanaomkatisha tamaa Rais wetu JPM kipenzi cha wanyonge wa nchi hii, nchi imeliwa sana hii JPM anainyoosha balaa..
Sehemu kubwa ya fedha mmeelekeza kwenye miundombinu huku sekta na maeneo mengine mkiyapuuza na haya ndio matokeo yake.

Leo hii mbali na kutoongeza mishahara ya watumishi kwa zaidi ya miaka minne sasa,hata wastaafu nao tunasikia wanasota kupata haki zao.

Mkiri mmkekosea tena sana tu.
 
Hapo kwa ZZK umemaliza, enhe Sasa jadili alichosema au alichonukuliwa kusema ZZK kuhusu akiba ya Chakula. Yaani jikite kwenye hoja ..
ZZK ni mpiga dili tu na wakala wa mabeberu, hii nchi ni tajiri na awamu ya tano imewezesha uchumi kukua kwa zaidi ya 7%, pato la Mtanzania limekuwa pia, mabarabara kila kona, Madege angani, SGR, Stieggler's.

Huyu ZZK ndio wale wanaomkatisha tamaa Rais wetu JPM kipenzi cha wanyonge wa nchi hii, nchi imeliwa sana hii JPM anainyoosha balaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ndivyo alivyoandika Zitto kupitia mtandao wa twitter:

Mwezi Oktoba mwaka 2015 Taifa lilikuwa na Akiba ya Chakula Tani 253,600. Tangu Serikali ya CCM ya Awamu ya 5 iingie madarakani haitengi Fedha za kununua chakula cha Akiba na ilichokikuta iliuza ili kununua Ndege. Sasa kuna akiba ya Tani 55,000 tu sawa na kilo 1 tu kila Mtanzania.
Hivi Expiring dates ya hivi vyakula vya akiba ni muda gani!?
 
Kwa mujibu wa hizo data ni wazi akiba ya chakula kwa sasa (kuanzia mwezi November) ni zero ila inaonekana wameshindwa tu kuandika salio zero wakaamua kuacha watu/wasomaji wajiongeze.
 
Hivi ndivyo alivyoandika Zitto kupitia mtandao wa twitter:

Mwezi Oktoba mwaka 2015 Taifa lilikuwa na Akiba ya Chakula Tani 253,600. Tangu Serikali ya CCM ya Awamu ya 5 iingie madarakani haitengi Fedha za kununua chakula cha Akiba na ilichokikuta iliuza ili kununua Ndege. Sasa kuna akiba ya Tani 55,000 tu sawa na kilo 1 tu kila Mtanzania.

Utasikia kama hufanyi kazi na usile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CC:Kipara Kipya
Hivi ndivyo alivyoandika Zitto kupitia mtandao wa twitter:

Mwezi Oktoba mwaka 2015 Taifa lilikuwa na Akiba ya Chakula Tani 253,600. Tangu Serikali ya CCM ya Awamu ya 5 iingie madarakani haitengi Fedha za kununua chakula cha Akiba na ilichokikuta iliuza ili kununua Ndege. Sasa kuna akiba ya Tani 55,000 tu sawa na kilo 1 tu kila Mtanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ZZK ni mpiga dili tu na wakala wa mabeberu, hii nchi ni tajiri na awamu ya tano imewezesha uchumi kukua kwa zaidi ya 7%, pato la Mtanzania limekuwa pia, mabarabara kila kona, Madege angani, SGR, Stieggler's.

Huyu ZZK ndio wale wanaomkatisha tamaa Rais wetu JPM kipenzi cha wanyonge wa nchi hii, nchi imeliwa sana hii JPM anainyoosha balaa..
Mkuu hiyo dhihaka ni ya hali ya juu
 
Back
Top Bottom