Kwa mtindo huu!!

Kwa mtindo huu!!

karibuni kwa nguo nzuri za kisasa.
50%2BYoungsters%2Barrested%2Bfor%2Bwearing%2BImproper%2BClothing%2Bin%2BSaudi%2BArabia.PNG
 
Mzigo mpya kutoka uturuki umeshuka wiki hii, nyote karibuni.
32392402-mj_auction2_zombies.jpg
 
Hii ni fasheni ya baadhi vijana wa kisasa.
Nguo yake sio iliyochakaa na kupita mda wake.

Nguo inabidi iwe mpya, ndio inachanwachanwa kutokana na mahitaji ya mtu.

Sio nguo iliyo oza.

Nguo hizo hazifai kwa watu waadilifu.
Zinatumika na vizazi vya mitaani vilivyoshindikana kitabia.
Nguo ni kwajiri ya kuhifadhi mwili hasa viungo nyeti.
 
Back
Top Bottom