Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,655
Yaani ananiandama balaa badala achangie madaUko sawa Mkuu.
Jamaa ana wivu wa KIKE...
Yaani ananiandama balaa badala achangie madaUko sawa Mkuu.
Jamaa ana wivu wa KIKE...
Roho zinawauma kipenzi my kakaa[emoji8]Nina kazi ya kufanya mimi
Yaani acha tu My lovly sistaRoho zinawauma kipenzi my kakaa[emoji8]
Kama hauna kazi waambie wakupe kazi sijui na vouchers wanakupaga waoYaani acha tu My lovly sista
Wakaushie tu..Busara ni kukaa kimya muda mwingineKama hauna kazi waambie wakupe kazi sijui na vouchers wanakupaga wao
Mkuu mwache mdau afanye kitu roho yapenda bhanaHivi huna kaz ya kufanya ww??
UmeonaeeWakaushie tu..Busara ni kukaa kimya muda mwingine
Umeonaee
Mkuu,,, you are just great AseeeehNakula asubuhi, mchana na jioni...Naoga mchana..nafanya kazi siku 5/masaa 5 kwa wiki
Aisee pamoja sana mkuuMkuu,,, you are just great Aseeeeh
Sent by me
Brother una roho ya pekee sana na hekima ya hali ya juu na nahisi hata familia yako inajivunia sana uwepo wako, mimi lazima ningemtolea povu la kutosha.nimemjibu kuondoa utata
inawezekana mkuu, ni wewe tu...kujibu mtu shit huwa sipendelei sana, nampotezea sanasanaJoseverest umeumbwaje wewe yaani upo provoked lakin waaala huna muda..aisee Mungu anipe uvumilivu wako. 😀 😀 😀
Shukrani sana mkuu, nashangaa badala mtu ajadili huko anakuja kukupeleleza maisha binafsi hahaha sijui anataka agundue nini yaani..Brother una roho ya pekee sana na hekima ya hali ya juu na nahisi hata familia yako inajivunia sana uwepo wako, mimi lazima ningemtolea povu la kutosha.
Yaani huyu jamaa MUNGU amempa hekima ya kipekee, yaani maneno wanayompa lakini majibu anatoa mepesi tena politely .Joseverest umeumbwaje wewe yaani upo provoked lakin waaala huna muda..aisee Mungu anipe uvumilivu wako. 😀 😀 😀
Ujuaji tu usiokuwa na tijaShukrani sana mkuu, nashangaa badala mtu ajadili huko anakuja kukupeleleza maisha binafsi hahaha sijui anataka agundue nini yaani..
JF sio ya kufatiliana kihivyo mkuu ila kuna watu bwana duuuhUjuaji tu usiokuwa na tija
Jamani ... Umenifurahisha mkuuNina kazi ya kufanya mimi