flagship
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,641
- 1,189
Nakula asubuhi, mchana na jioni...Naoga mchana..nafanya kazi siku 5/masaa 5 kwa wiki
Asee Joseverest hauna njonjo na kelele nyingi lakini unajulikana sana.Nadhani wewe ni miongoni mwa JF Members wanaoongoza kwa mahudhurio.Kikubwa ni busara zako tu ndio muhimu.Halafu kuna jamaa mmoja anaitwa Jabis Avatar yake inataka kufanana na yako.Hivi Jabis yupo wapi?