Kwa mtindo huu basi na posho wasipate

Kwa mtindo huu basi na posho wasipate

Gamariel

Member
Joined
Sep 8, 2009
Posts
82
Reaction score
6
Kwakuwa Bunge maalum la katiba limemaliza zaidi ya asilimia 30 ya muda wake bila ya kuwa na zao linaloonekana. Nahisi umefika wakati kila watakapo ahirisha kikao kwa sababu yeyote ile basi posho ya kikao husika wasipewe manake hakiwezekani mtu apewe posho ya kuahirisha kikao au ya kitu ambacho hakijatendewa kazi.

Nikiwa Kama mtanzania muungwana nasikitika kuona yanayotokea huko Dodoma. Sina hakika Kama tunao watu wenye nia ya dhati kuikomboa Tanzania yetu.
 
Back
Top Bottom