Kwa mtaji huu nitafanya biashara? Msaada

Hivi mashine za bisi zinapatikana wap kwa urahis mkuu
 
Ni ngumu kutoa ushauri na kila mtu ata rupuka na la kwake tu hapa, ili mambo yawe rahisi, jaribu kujifungua zaidi ili watu wajue namna ya kuku saidia.
Unaishi wapi,mkoa, wilaya, na jaribu kuelezea mizingra yako na watu walio kua around.
umri? Si lazima utajeunaweza ukasmaaround 20 au 30 years au 50 years.
Intrest zako.

Kufuga kuku si lazimauanze kufuga kwa ajili ya biashara, na inategemea kama una eneo pi lakutosha.Unaweza uka anza kufuga kuku kama intrest tu, kuku 2 au 3 wakataga na wakatotoawakaongezeka wakati huo unaendelea kufundisha. Au ukatafuta kijana wa kumuajiriukafungua kibanda cha kuuzia chips, mayai na mishkaki, ndio hapo inapo tegemeana mahali unapo ishi. Kwa hiyo jaribu kufunkunga kidogo

Kila la kheri mkuu na mungu atusaidi.
 
Reactions: HMS

Habari Ticha.
Ongezea kidogo afu Nunua bodaboda mtafute mtu mwaminifu akuletee hesabu wakati we waendelea na twisheni yako huku na hesabu inaingia utapiga bao tu. Tena ukitaka usiumize kichwa ikatie comprehensive wala haitakuangusha ticha.
 
vizuri kuwa mjasiriamali. unaweza uka Tengeneza pamphlet za masomo yako na kuuzia wanafunzi. wanafunzi wanapenda bites kama sambusa, vitumbua, kama kuna mahali unaweza kuweka mtu fanya, si lazma uweke banda andaa nyumbani peleka na mtu wa kuuza. si aibu kutengeneza pesa. wanafunzi pia hupendelea ubuyu, mihogo, etc. unaweza kuanzisha tests ukawacharge wanafunzi na kuwapa mitihani ili kujipima wana uwezo gani. fursa ziko nyingi, tafuta hitaji ambalo unajua ni la msingi na lina soko hao ulipo na ulifanye.
 
Nenda Mkata kule Tanga kanunue vitanda kwa jumla wanauza kati ya Tsh 80,000 mpaka 100,000/:
peleka Arusha kitanda kimoja kinauzwa rejareja 180,000 hadi laki 2.
Au lete Dar
Itakulipa vitanda haviozi wala kuhitaji chakula kama vifaranga.
Asante mkuu kwa ushauri wako kweli jamii forums ni great thinkers
 
Thanks kwa ushauri mzuri kweli jamii forums watu wanajua
 
Reactions: HMS
Thanks mkuuuuuuuuuuu
 
Habari Ticha.
Ongezea kidogo afu Nunua bodaboda mtafute mtu mwaminifu akuletee hesabu wakati we waendelea na twisheni yako huku na hesabu inaingia utapiga bao tu. Tena ukitaka usiumize kichwa ikatie comprehensive wala haitakuangusha ticha.
Nimekusoma sana ,duh hili jukwa noma sana watu wamenifungua aisee
 
nipo dar kinondoni mkuu, asante kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…