Nimefika kwenye mission ya bomb da base act 1ila nimeahindwa kucheza nmejaribu kugoogle lakini bado sujapata solutiona naomba msaada !
Salvatore..!
Duh! Mmenichanganya sana wakuu gta ni game gani?
tatizo co pc yako jariku
kufanya dualboot kwa window7 then install litacheza kwani requirement
zako ziko sawa lakini nina wasiwasi na window8 yako lakini kabla ya yote
launch game lako then nenda setting then display alafu punguza quality
alafu save then jaribu kucheza kama bado fata ushauri wa hapo
juu
Duh! Mmenichanganya sana wakuu gta ni game gani?