pleo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 3,599
- 3,034
Tunaofanya kazi tunamuibia tajiri, mteja au wote ikiwezekana...Nawezaje kuishi mjini Dar, kwa mshahara wa laki mbili, ( 200,000)tsh kwa mwezi, haswa kwenye kulipia kodi na masuala ya chakula.?
Wataalamu wa uchumi, Msaada..
Hautakosa kung'oa hata spea ya AC ofisini uende kuuza kariakoo Bazar.