Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 4,224
- 5,727
😁😁😁😁Mbona watu wanaishi kwa laki tu. Ingia ofisini utapata hela zaidi hii nchi mshahara ni namba tu
😁😁😁😁Mbona watu wanaishi kwa laki tu. Ingia ofisini utapata hela zaidi hii nchi mshahara ni namba tu
Well said [emoji112][emoji112]Pesa hiyo usiiache dogo, endelea kuishi kulingana na bajeti yako huku ukitafuta kwingineko!
Humu jf utabezwa sana na watu ambao wengine yawezekana hata uhakika wa ugali dagaa hawana. Humu ni ulimwengu wa kufikirika kwa asilimia kubwa.
weka pembeni wanawake, hamia chaputa
hapo utatosha na utabaki, utanishukuru baadae
Si Bora uwe bodaboda Tu.. Kwa mwezi wanapata sio Chini ya laki 4Nawezaje kuishi mjini Dar, kwa mshahara wa laki mbili, ( 200,000)tsh kwa mwezi, haswa kwenye kulipia kodi na masuala ya chakula.?
Wataalamu wa uchumi, Msaada..
Vocha ya nn. Kwenye ilani haijaandikwaMkuu hapo ni rum tu, msosi vip, vocha? Usafiri?
Bado ndugu (wazazi maana wanajua una kazi utawasaidia)
Akaushushe pale jangwani mchana ndipo atakapojua kuwa mgambo ni mwalimu wa komandoHa ha ha kwani kushusha mzigo analipia?
Unamshauri aoe tenaJifunze kutembea kwa miguu sana, kifunze kula mlo moja,nunua simu ya kitoch, jifunze kufanya kazi zaidi ya moja mfano ukirudi toka kazin chotea watu maji na mkokoten, waombe mabos zako uwe unawafulia, jifunze kuwa serious na maisha yako oa! Jiongeze ukiamka asubuhi! Kabebe hata mizigo kariakoo baada ya kaz au kauze viatu, jenga urafiki na watu wa aina yako walio na machungu ya maisha watakupa mbinu! Miez sita mingi utatoboa
Usiwe na mwanamke la sivyo utazidisha umaskini na kama utakuwa na mhaho funga sali ikishindikana mara moja kwa mwezi ukiwa na 5000 yako ukipita Riverside, au Sudan temeke kupunguza uzito sio mbaya
Hio ni moja ya basic needs usiidharau
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
hahahahUsiwe na mwanamke la sivyo utazidisha umaskini na kama utakuwa na mhaho funga sali ikishindikana mara moja kwa mwezi ukiwa na 5000 yako ukipita Riverside, au Sudan temeke kupunguza uzito sio mbaya
Hio ni moja ya basic needs usiidharau
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sasa hapo tatizo ni lakoukiwa na 5000 yako ukipita Riverside, au Sudan temeke kupunguza uzito sio mbaya
[emoji116]
akinogewa jee!! maana muonja asali haonji mara mojaa...!!!
Ndiyo akipata mwanamke mzuri watafanya maendeleo fasta sana ujue dunian kila kitu ni viwili wili mfano macho mawili na mwanamke na mwanaume!
Unasevu ukiwa unaenda kwa mguu ofisini ama? 😅
Komaa ila na hakika hio kazi utaiacha tu! Kwa mfumuko wa bei kitaa maisha yatakuwa magumu kingese hio pesa utaona sawa na kuamka kwenda kutafta buku kila siku!mm wa kiume