Political stability
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 905
- 1,410
- Thread starter
- #21
SawaOlewa tu
SawaOlewa tu
Sina mshahara... bado nipo home, kwahiyo nataka kutoka
Anasevu kwamba hali, hanyi, hasafiri?
Wasikutie moyo hiyo hela ni ndogo utapata utapia mlo tuNawezaje kuishi mjini Dar, kwa mshahara wa laki mbili, ( 200,000)tsh kwa mwezi, haswa kwenye kulipia kodi na maswala ya chakula.?
Wataalamu wa uchumi, Msaada..
Nimekupata vyema, mkuuPesa hiyo usiiache dogo, endelea kuishi kulingana na bajeti yako huku ukitafuta kwingineko!
Humu jf utabezwa sana na watu ambao wengine yawezekana hata uhakika wa ugali dagaa hawana. Humu ni ulimwengu wa kufikirika kwa asilimia kubwa.
Kwanini?Wasikutie moyo hiyo hela ni ndogo utapata utapia mlo tu
Malipo ya sikuKwanini?
Ushauri wa muhimu huu..awaangalie tu mademu na kuwala kwa macho.weka pembeni wanawake, hamia chaputa
hapo utatosha na utabaki, utanishukuru baadae
Kwa laki 7 kweli?20*20
huu ushauri kaupita kama hauoni vileUshauri wa muhimu huu..awaangalie tu mademu na kuwala kwa macho.
Uko sahihi [emoji3581][emoji3581]weka pembeni wanawake, hamia chaputa
hapo utatosha na utabaki, utanishukuru baadae