Kwa mshahara huu, nitaishi vipi Dar?

Kwa mshahara huu, nitaishi vipi Dar?

Nawezaje kuishi mjini Dar, kwa mshahara wa laki mbili, ( 200,000)tsh kwa mwezi, haswa kwenye kulipia kodi na maswala ya chakula.?

Wataalamu wa uchumi, Msaada..

Daaa Kaka Una Mshahara Mkubwa sanaa aisee hadi nakuonea Wivu...kaka i Kweli Huo unaupata Kihalali?[emoji30][emoji51][emoji51]
Mi Umenizidi 30,000.
Hapa Nipo Najiandaa Nioe nimepanga Chumba Hapa Mbagala,Nimemaliza Chuo Mwaka Juzi Kaka!
Kila Nikipiga Hesabu zinagoma angalau ningepata Mshahara wa 200,000ningekuwa mbali kaka
 
Kuna 'rule' moja ya hela inaitwa 50-30-20

Ni rahisi kuifata na haina complications
50- hapa utatumia asilimia 50 ya mshahara kwaajili ya basic needs. Kodi, chakula, usafiri n.k

30- asilimia 30 kwaajili ya wants (visivyo na umuhimu kivileee) . Mfano kulipa king'amuzi, bundle Za internet n.k

20- asilimia 20 kwaajili ya savings

Kwahiyo laki mbili unatoboa vizuri tuu
 
haha aisee, huo ni mshahara wa halali kabisa , broh
 
Mkuu jitahidi utongoze mama ntilie halafu jenga ushikaji na kinyozi mmoja mtaani ili baadhi ya huduma uzipate free.Ila Istand with mama Ntilie
Screenshot_20210716-234459.jpg
 
Kuna 'rule' moja ya hela inaitwa 50-30-20

Ni rahisi kuifata na haina complications
50- hapa utatumia asilimia 50 ya mshahara kwaajili ya basic needs. Kodi, chakula, usafiri n.k

30- asilimia 30 kwaajili ya wants (visivyo na umuhimu kivileee) . Mfano kulipa king'amuzi, bundle Za internet n.k

20- asilimia 20 kwaajili ya savings

Kwahiyo laki mbili unatoboa vizuri tuu
Ngoja, niache uoga, mwezi huu, najitosa, natoka home naenda kupanga
 
Jifunze kutembea kwa miguu sana, kifunze kula mlo moja,nunua simu ya kitoch, jifunze kufanya kazi zaidi ya moja mfano ukirudi toka kazin chotea watu maji na mkokoten, waombe mabos zako uwe unawafulia, jifunze kuwa serious na maisha yako oa! Jiongeze ukiamka asubuhi! Kabebe hata mizigo kariakoo baada ya kaz au kauze viatu, jenga urafiki na watu wa aina yako walio na machungu ya maisha watakupa mbinu! Miez sita mingi utatoboa
 
Back
Top Bottom