Political stability
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 905
- 1,410
- Thread starter
- #101
Naishi dar, nauli kwenda job, ni buku.. kwenda na kurudikomaa, unaweza, Ila Kama unatoka mbali ana hauishi Dar, Ni harakati Sana Kitanda etc!
Naishi dar, nauli kwenda job, ni buku.. kwenda na kurudikomaa, unaweza, Ila Kama unatoka mbali ana hauishi Dar, Ni harakati Sana Kitanda etc!
😂😂😂😂😂😂😂😂 ajiwashe tu akae stolowei kwa mjombaSio rahisi kama unavyodhani mkuu, hao maboya unaosema ndio hao wanalipwa laki2 anaanzaje kukulipia kodi?
Kodi inakuja vipi mkuu siutakaa hapo hapo ulipokua unakaa zamani mpk usave ela za kodi.. Kuliko kuwa jobless mi namshauri ajitusu labda awe ana michongo yake mingine!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naishi dar, nauli kwenda job, ni buku.. kwenda na kurudi
Eh Mwanaume kambi popote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ajiwashe tu akae stolowei kwa mjomba
kwa Dar hii labda akavizie vichaa au mbuzi😂Mkuu hiyo hela inatosha ukiishi maisha ya laki mbili. Ila haitakiwi kuwa na mpenzi anaeomba hela na mabando yaani umpate yule anayetoa mbususu for free.
Nyingi Sana hio ,apo ili.uishi vzuri chukua 50 ingia kkoo nunua tshet su mashat ya ofisn yale,ingia nayo unapofanyia kazi wauzie hata kwa mkopo vifaida viweke weke vikiwa vingi kuza mtaji apo angalau ufike 70 hvohvo polepole utafka mbali😛😛Nawezaje kuishi mjini Dar, kwa mshahara wa laki mbili, (200,000) Tsh kwa mwezi, haswa kwenye kulipia kodi na masuala ya chakula?
Wataalamu wa uchumi, Msaada..
Hapo itabidi apige nyeto tu.Mkuu hiyo hela inatosha ukiishi maisha ya laki mbili. Ila haitakiwi kuwa na mpenzi anaeomba hela na mabando yaani umpate yule anayetoa mbususu for free.
Wapi pameandikwa lazima kuwasaidia wazazi? We pambana vita yako..siku hizi hata wazazi nao wanga tu. Mzazi badala ya kukuwekea ngao naazidi kukudidimiza kipindi huna kazi. We jiwazie mwenyewe tu.Mkuu hapo ni rum tu, msosi vip, vocha? Usafiri?
Bado ndugu (wazazi maana wanajua una kazi utawasaidia
Kabisa yani,na usafiri kwenye ilani tulisema itatumika miguu tu.Vocha ya nn. Kwenye ilani haijaandikwa
Asante kwa ushahuri mzuriNyingi Sana hio ,apo ili.uishi vzuri chukua 50 ingia kkoo nunua tshet su mashat ya ofisn yale,ingia nayo unapofanyia kazi wauzie hata kwa mkopo vifaida viweke weke vikiwa vingi kuza mtaji apo angalau ufike 70 hvohvo polepole utafka mbali[emoji14][emoji14]
Nimeipenda hiyo ya kuweka hela kwenye pochi na mkaa.Amna bwana Extro[emoji23][emoji23][emoji23] si wenyewe tunapigika kitaa
Mi simpotoshi hapo ni kukaza kwa siku atumie ef3 emergency ef50 inakua laki40 ef60 aweke ef30 kwenye simu 30 aweke kwenye pochi na mkaa [emoji2][emoji2]hela haziishi nakwambia!!
yani aishi maisha ya laki2
Kaka shukuru una kazi na unapata mshahara unataka kuishi kifalme ,utakamatishwa ukuta shauri yako ,pambana kaka.Nawezaje kuishi mjini Dar, kwa mshahara wa laki mbili, (200,000) Tsh kwa mwezi, haswa kwenye kulipia kodi na masuala ya chakula?
Wataalamu wa uchumi, Msaada..
Akisave 150 hatakula nini sasa?Mbagala room hadi 15k per month, miezi 3 ni 45 inayobaki 150 unasevu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wanawake hawa waliozaliwa na hela you can't be serious mkuu atanyanyasika sana jamaa asithubutuNdiyo akipata mwanamke mzuri watafanya maendeleo fasta sana ujue dunian kila kitu ni viwili wili mfano macho mawili na mwanamke na mwanaume!
Miongozo imeshatolewaNgoja waje kukupa muongozo...
Akipata mbuzi atampiga mbuzi kagoma kwenda Orijinali.kwa Dar hii labda akavizie vichaa au mbuzi😂
Rudi Mkoani tuachie tunapita Mshahara wa 100,000/= TuishiNawezaje kuishi mjini Dar, kwa mshahara wa laki mbili, (200,000) Tsh kwa mwezi, haswa kwenye kulipia kodi na masuala ya chakula?
Wataalamu wa uchumi, Msaada..