Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,785
- 21,028
wazungu wanakwambia 'literary' 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Akipata mbuzi atampiga mbuzi kagoma kwenda Orijinali.
wazungu wanakwambia 'literary' 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Akipata mbuzi atampiga mbuzi kagoma kwenda Orijinali.
Hahahahah hatariiSasa ongeza na mademu ndio utajua chanzo cha umaskini ni maskini wenyewe
Tatizo ni Dar au ni mshahara? Jaribu kuhama, ama mkoa au kazi au vyote. Maisha ni popote!Nawezaje kuishi mjini Dar, kwa mshahara wa laki mbili, (200,000) Tsh kwa mwezi, haswa kwenye kulipia kodi na masuala ya chakula?
Wataalamu wa uchumi, Msaada..
Mkoa siwezi kuhama.. Ishu ni mshahara na gharama za maisha ya mwezi mzimaTatizo ni Dar au ni mshahara? Jaribu kuhama, ama mkoa au kazi au vyote. Maisha ni popote!