Haliali
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 574
- 263
Ndugu wengine tumesoma chemistry na biology pale UDSM naulikuwa mziki wa ukweli. uliza waliosoma enzi hizo nafikiri wanawajua vema Prof Othuman wa (Instrumental chemistry), Mdachi, Akwilapo, Forester nk, kule Zoology na Botany ndiyo usiseme ulizia course iliokuwa inaitwa Zl 121 na Zl 122 nk na course nyingine nyingi ambazo zilikuwa mziki mnene.
One ya point nane ya ngwine au ya nani!
wote hata wa law, wote ngwine tu, hakuna lolote, kimsingi ni kwamba walimu wengi wa secondary wana ufaulu mzuri tu
tatize ni nyangwine kawaharibu, nashukuru ngwine kaja miaka yenu, na angekuwa enzi zetu asingethubutu kutoa kitabu na mzee nyirenda.
chukulia nilesoma vitabu vya akinashivji, nyirenda nk na wewe uliepiga ngwine wapi na wapi