Kwa mnaozimikia Avatar na sweet msg...cku ya appointment usizimie...

ndio maana nilishauri kila mmoja wetu awe anatumia unik pict yake lakini naona kimya kwani kama ubaya na uzuri sote si tuna damu nyekundu jamani...yaani subhannallah sijui kwanini watu huwa hawataki swala hili sababu sijaifaham ...

Nilham unaogopa usije kuchat na husband sio?
 
hahahaha...hili nalo jambo. unawaza kukutana na kifaa kweli kweli kumbe tofauti kabisa
 
why dont you just put your real image as your avator. mnaogopa nini?
 
siku ya kukutana ukikuta ndivyo sivyo sasa sijui utaonyesha mshangao wako au utajikausha? kazi ipo..
 
ndio maana nilishauri kila mmoja wetu awe anatumia unik pict yake lakini naona kimya kwani kama ubaya na uzuri sote si tuna damu nyekundu jamani...yaani subhannallah sijui kwanini watu huwa hawataki swala hili sababu sijaifaham ...

Mie nimezimikia avatar yako , Je ndo ulivyo ama......??
 
ndio maana nilishauri kila mmoja wetu awe anatumia unik pict yake lakini naona kimya kwani kama ubaya na uzuri sote si tuna damu nyekundu jamani...yaani subhannallah sijui kwanini watu huwa hawataki swala hili sababu sijaifaham ...

unataka kusema hii avatar yako ni sura yako halisi sio ????.kam ni kweli basi hongera kwa kutekeleza ushauri wako.
 
ndio maana nilishauri kila mmoja wetu awe anatumia unik pict yake lakini naona kimya kwani kama ubaya na uzuri sote si tuna damu nyekundu jamani...yaani subhannallah sijui kwanini watu huwa hawataki swala hili sababu sijaifaham ...

Anza wewe kisha nitafuata mimi.
 
Nafikiri ni vizuri tukiweka picha za watu kama avatar tujaribu kuweka zinazo karibia kufanana na jinsi tulivyo.
 
siku ya kukutana ukikuta ndivyo sivyo sasa sijui utaonyesha mshangao wako au utajikausha? kazi ipo..

Mbona wanaJF wote niliofanikiwa kukutana nao ni wazuri? tena kwa sura na maumbile, au vipimo vyetu vya macho vinatofautiana?

Au hadi mnapanga kukutana lazima muwe mmetongozana na kukubaliana sasa mnapokwenda kukamilisha zoezi la utambulisho na kujuana ndo mnaishia kushangaana, he yani huyu ndo madam T!! mbona mbaya hivyo!! matokeo yake watu wanakuja jf kulalamikia avatar na switi mesejiz.:coffee:
 
Back
Top Bottom