Kwa mnaokuja Mgambo JKT, mambo ni shwari!

Kwa mnaokuja Mgambo JKT, mambo ni shwari!

Kwann hawakusanyi hizo simu.. Huku ni kumfanya kuruti ajikute SM.. Acheni kupost hizi habari humu
 
dogo bado hujaiva..
acha unaa, fanya kazi za watu kimyakimya kwa morali miezi mitatu iishe urudi kwenu.
sio kila mtu ajue mnachofanya huko.
 
bwana mdogo njoo nikuelekeze kuna manzi yangu hapo mchunge.
 
dogo bado hujaiva..
acha unaa, fanya kazi za watu kimyakimya kwa morali miezi mitatu iishe urudi kwenu.
sio kila mtu ajue mnachofanya huko.

Hajaiva ngoja siku akitoka atakuwa ameiva napafahamu sana hapo
 
Madogo mnakula utawala tuu waziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?????????????/ pigeni kozi aseee mmeenda msimu mzuri wa kulinda manyani wasile mahindi mtakula utawala sana pia mmewamisi maafande kama Lt Laizer Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Major Kanole C O wa 835 KJ He is a gud person
Young engineer/ Service Man Moody###########
835 KJ
KOMBANIA G COY
PLATOON 01
SECTION 02
OP: MIAKA 50 YA JKT
Waziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Unamkumbuka Ngoronjeeeeee...
 
Kuna madogo wamepangiwa JKT huko Mgambo, wanatoka mwanza. Je watumie route gani kufika huko? Na gharama ni kiasi gani?
 
Back
Top Bottom